Daily Archives: September 14, 2020

Membe kutua Tanzania, asema yuko imara

BERNARD Kamilius Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia chama cha ACT-Wazalendo, anarejea nchini mwake kesho Jumanne tarehe 15 Septemba 2020 akitokea Dubai. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea) ...

Read More »

Vijana wa kilimo Moshi waipigia chapuo CCM

MUUNGANO wa Vijana wa Kilimo cha kitalu nyumba (MVIKIKINYU) katika halmashauri ya Moshi mkoani Kilimanjato, umeipongeza serikali kwa kuwapa elimu ya mkulima na kuwawezesha kumiliki kitalu nyumba kinachowasaidia kujiongezea kipato. ...

Read More »

Morrison awaponza Manara na Hanspope

KAMATI ya maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewapiga faini kiasi cha Shilingi 5 milioni, Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara na mjumbe wa bodi ya ...

Read More »

Jaji Bomani azikwa Dar, Majaliwa amwelezea

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa Kassim ameongoza mazishi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hayati Mark Bomani huku akiwataka Watanzania wamuenzi kwa kuuishi utumishi wake uliotukuka wakati wa kupindi ...

Read More »

Magufuli ajibu wanaohoji maendeleo Chato

JOHN Magufuli, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema, wanaohoji kwa nini amejenga Uwanja wa Ndege Chato mkoani Geita “washindwe na walegee.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Mwandishi Wetu ...

Read More »

Maalim Seif amgomea Zitto

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, amekataa ombi la Kiongozi wa chama hicho, Zitto Zuberi Kabwe la kurudi nyumbani baada ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu ...

Read More »

RC Mghwira awapa somo wanasiasa wanaotafuta kura

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzanmia, Anna Mghwira amewataka wanasiasa kutumia majukwaa yao ya kisiasa kutoa matamko ya matumaini kwa wananchi ili kuisadia nchi isonge mbele zaidi badala ya ...

Read More »

Zitto amjibu Lissu ‘inawezekana’

OMBI la Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), aungwe mkono na Chama cha ACT-Wazalendo kwa upande wa Tanzania Bara, linafanyiwa kazi. Anaandika Mwandishi ...

Read More »

Dk. Bashiru: Magufuli akimaliza miaka 10 anaondoka

JOHN Pombe Magufuli, Rais wa Tanzania hataongeza muda wa kukaa madarakani pindi vipindi vyake viwili vya Serikali ya awamu wa Ttno vitafika ukomo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Chato … (endelea). Hayo ...

Read More »

Kubenea: Nilihofia kugawa kura Ubungo

SAED Kubenea, mgombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema hakugombea ubunge katika Jimbo la Ubungo ili kutogawa kura za upinzani. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam ...

Read More »

Maalim Seif: Naingia Ikulu 2020

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amejigamba kuingia Ikulu ya Zanzibar baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 27 na 28 Oktoba 2020. ...

Read More »

Man Utd, Man City kuanza Ligi mwisho wa wiki hii

KLABU za Manchester United na Manchester City zinatarajia kuanza mbio zake kwenye Ligi Kuu nchini Uingereza mwishoni wa juma hili baada ya kupumzika kwa wiki moja. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar ...

Read More »
error: Content is protected !!