Friday , 29 March 2024

Day: September 13, 2020

Michezo

Yanga yaanza kukusanya pointi Ligi Kuu

GOLI la dakika ya 86 lililofungwa kwa kichwa na beki kisiki wa Yanga, Lamine Moro limetosha kuwapa furaha mashabiki wa timu hiyo. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Tanzania kuvuna asilimia 60 ya Bomba la Mafuta

SERIKALI ya Tanzania na ya Uganda zimekubaliana kuanza ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi kwenye Bandari ya Tanga...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atoa ahadi ‘mwiba’ kwa vigogo

TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kukwapua ardhi iliyotwaliwa na vigogo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Ifakara..(endelea). Mbele ya...

Habari za Siasa

Mwakyembe aiambia CCM ‘kujaa mikutanoni si ushindi’

HARRISON Mwakyembe, aliyekuwa mbunge wa Kyela kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametahadharisha kwamba kujaa watu kwenye mikutano si hoja ya kushinda. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Saratani ya matiti yaanza kushambulia wenye umri mdogo

WASTANI wa umri wa wanawake wanaogundulika kuugua saratani ya matiti katika Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) umeshuka. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es...

Habari za Siasa

Rais Museveni atua Chato

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amewasili Uwanja wa Ndege wa Chato Mkoa wa Geita na kupokewa na mwenyeji wake, Rais wa Tanzania, John...

error: Content is protected !!