Daily Archives: September 12, 2020

CCM yazindua kampeni Z’bar, Dk. Mwinyi amwaga ahadi

DAKTARI Hussein Ali Mwinyi, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametaja mambo atakayotekeleza endapo atafanikiwa kuchaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 27 na 28 Oktoba 2020. Anaripoti ...

Read More »

Mtibwa yaing’ang’ania Simba

DAKIKA 90 zimemalizika dimba la Jamhuri mkoani Morogoro kwa mabingwa watetezi wa ligi kuu Vodacom Tanzania Bara 2020/21, Simba kutoshana nguvu kwa kufungana 1-1 na Mtibwa Sugar. Amaripoti Mwandishi Wtu, ...

Read More »

Rais Shein: Wazanzibar msijaribu uongozi

ALI Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar anayemaliza muda wake, amewataka wananchi wa visiwa hivyo, kutofanya makosa kwa kumchagua Rais mwenye tamaa na asiyekuwa na uwezo wa kuongoza. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Profesa Lipumba: Tukipoteza uchaguzi huu, tutajuta

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF) amesema, wananchi wakishindwa kuutumia Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020 kuleta mabadiliko, watajuta kuipoteza nafasi hiyo. Anaripoti ...

Read More »

Wawili wadakwa wakijifanya maofisa usalama, polisi

WATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam nchini Tanzania kwa tuhuma za kujifanya maofisa wa usalama wa Taifa, Polisi na Mamalaka ya Mapato Tanzania ...

Read More »

Raia saba wa kigeni mbaroni tuhuma uhalifu mtandaoni

RAIA saba wa kigeni wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania kwa tuhuma za uhalifu kwa njia ya mtandao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

NEC yaamua rufaa 60, Jesca arejeshwa kumvaa Dk. Mwigulu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imemrejesha Jesca Kishoa kuwa mgombea ubunge Iramba Magharibi Mkoa wa Singida kupitia Chadema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Jesca ...

Read More »

Milioni 4.9 zamkamatisha kigogo wa Takukuru

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, imemkamata ofisa wake wa uchunguzi mwandamizi, Nina Sipilon Saibul kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh.4.9 milioni. Anaripoti ...

Read More »

Zitto aichongea CCM kwa WanaKigoma

ZITTO Zuberi Kabwe, mgombea ubunge Kigoma Mjini kupitia ACT-Wazalendo, ametoa sababu tano ambazo wananchi wa Mkoa wa Kigoma wanapaswa kutokichagua Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Kigoma … (endelea). ...

Read More »

Sumaye: Mgombea huyu hafai

FREDERICK Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani amedai, wapo wagombea wanaotaka ‘kuitikisa amani ya nchi.’ Anaripoti Mwandishi ...

Read More »
error: Content is protected !!