Daily Archives: September 11, 2020

ZEC yamteua Maalim Seif kugombea urais

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imemteua Maalim Seif Sharif Hamad kuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika 27 na 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar ...

Read More »

Wasafi FM yafungiwa siku 7

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kusitisha utoaji huduma za utangazaji kwa Wasafi FM kwa muda wa siku saba baada ya kukiuka kanuni za utangazaji kwa kutumia lugha za matusi ...

Read More »

Mwanasheria Mack Boman afariki dunia

MWANASHERIA Mkuu wa kwanza Tanzania, Mark Bomani amefariki dunia usiku wa kumakia leo tarehe 11 Septemba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa zilizopatikana mpaka sasa kutoka ...

Read More »

Maalim Seif: Sina wasiwasi na mapingamizi

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, hana wasiwasi juu ya mapingamizi aliyowekea Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ili asipitishwe kugombea nafasi hiyo. Anaripoti ...

Read More »

Yanga wazindua jezi mpya 2020/21

MABINGWA wa kihistoria wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam, wamezindua jezi mpya ambazo zitatumika katika msimu wa 2020/21. Anaripoti Kelvin Mwapungu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

CCM yamtwisha zigo la ushindi Kikwete mikoa ya Kusini

CHAMA tawala nchini Tanzania cha Mapinduzi (CCM) kimesema, kimempeleka Rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete katika mikoa ya Kusini, ili akamalize wavurugaji wa chama hicho hususan mkoani Lindi. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Lissu: Ama zangu, ama za Magufuli

LICHA ya kinyang’anyiro cha wagombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020 kuwa na wagombea 15, Tundu Lissu miongoni mwa wagombea hao kupitia Chadema amesema, wanaotikisa ...

Read More »

Kubenea apata dhamana, kuendelea na kampeni Kinondoni

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha nchini Tanzania, imemwachia kwa dhamana mgombea ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Ahmed Kubenea. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha … (endelea). Kubenea ambaye alikuwa mbunge wa ...

Read More »
error: Content is protected !!