Daily Archives: September 10, 2020

Muro wa NCCR-Mageuzi aahidi kuibadili Kinondoni

MUSTAFA Muro, Mgombea Ubunge wa Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia NCCR-Mageuzi, ameahidi kuboresha maisha ya wananchi wa jimbo hilo, endapo watamchagua katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba ...

Read More »

Maalim Seif awekewa pingamizi, 16 wateuliwa

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imeshindwa kumteua Maalim Seif Sharif Hamad kugombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo baada ya kuwekewa pingamizi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Unguja … (endelea). Leo ...

Read More »

Mbatia atoa wosia kwa Watanzania kuelekea 28 Oktoba

JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania, amewataka Watanzania kutumia kura zao vizuri katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, ili kuamua mustakabali mwema wa maisha yao ...

Read More »

19 warejeshwa kugombea ubunge, 26 udiwani

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imewarejesha wagombea ubunge 19 baada ya kuzifanyia kazi rufaa 22. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Pia, Tume hiyo imewarejesha wagombea udiwani ...

Read More »

Lissu atikiswa, chopa yake yagomewa

HELKOPTA (chopa) iliyotarajiwa kumbeba Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuelekea Bagamoyo mkoani Pwani, imegomewa kuruka. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa ...

Read More »

Samatta njia panda Aston Villa

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Samatta anayekipiga kwenye klabu ya Astorn Villa huenda akauzwa katika dirisha hili kubwa la usajili kufuatia uongozi wa klabu hiyo ...

Read More »

TFF yadai wasifu wa makocha

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezitaka klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kuwasilisha wasifu na vyeti vya makocha wao waliowaajili kuvinoa vikosi vyao. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es ...

Read More »

Waliotafuna fedha za korosho matatani 

MAMA Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) iwashughulikie watu waliodhurumu fedha za malipo ya korosho ...

Read More »

Milioni 20 wapona corona duniani

WAGONJWA milioni 20.1 waliokuwa wameambukizwa virusi vya corona (COVID-19) duniani wamepona. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Mtandao wa  worldometer umeripoti leo Alhamisi tarehe 10 Septemba 2020 kuwa, maambikizo duniani ...

Read More »
error: Content is protected !!