Daily Archives: September 8, 2020

TMA yatabiri mvua hafifu mikoa 16 Tanzania

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetangaza mikoa 16 itakayopata mvua za vuli chini ya wastani hali itakayosababisha ukame katika maeneo hayo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … ...

Read More »

15 warejeshwa kugombea ubunge, 15 watupwa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzani, imekubali rufaa 15 kati ya 55 za wagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ...

Read More »

Utaratibu kuomba ajira za walimu watolewa

OFISI ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imetoa tangazo la nafasi za walimu wa shule za msingi na sekondari zaidi ya 13,000 nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Magoli 14 yafungwa ligi kuu, KMC yaongoza

MICHEZO ya raundi ya kwanza ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2020/21 imemalizika huku ikishuhudia magoli 14 yakifungwa katika mechi kumi. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam…(endelea) Pazia la ...

Read More »

Magufuli atoa siri Tizeba, Lugola kukatwa

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Rais John Pombe Magufuli, ameeleza mchakato wa kuwapata wagombea ubunge wa Buchosa jijini Mwanza na Mwibara mkoani Mara ndani ya chama hicho. ...

Read More »

‘Dili’ la Membe, Lissu, Maalim Seif hadharani

KAULI kwamba ‘tutashirikiana’ kati ya Chama cha ACT-Wazalendo na Chama  cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza kudhihiri kwa vitendo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Unguja … (endelea). Tundu Lissu, mgombea urais kupitia ...

Read More »
error: Content is protected !!