Daily Archives: September 7, 2020

KMC yaanza kwa kishindo ligi kuu, Kagera yapigwa

TIMU ya KMC FC ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imeanza kwa kushindo Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2020/21 kwa kuifunga Mbeya City 4-0. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Sh. 90,000 zamfikisha kortini mwalimu Tabora

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) itamfikisha mahakamani mwalimu, Kondwani Masata akituhumiwa kutoa rushwa ya Sh.90,000 kama kishawishi kwa Katibu Tawala Mkoa wa Tabora ili aweze kuhamishiwa Manispaa ...

Read More »

Mgombea ubunge CCM kuwarejesha nyumbani wana Mufundi

MGOMBEA Ubunge wa Mufindi Kusini Mkoa wa Iringa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), David Kihenzile amesema, vijana na wasomi wote wanaoishi nje ya Mufindi wanapaswa kurudi nyumbani na kuijenga Mufindi ...

Read More »
error: Content is protected !!