Daily Archives: September 5, 2020

Majaliwa: Bilioni 577 zatekeleza miradi Arusha, mchagueni Magufuli

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli imetoa ...

Read More »

Maganja wa NCCR-Mageuzi abainisha vipaumbele 10 ikiingia Ikulu

CHAMA cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania leo Jumamosi tarehe 5 Septemba 2020 kimezindua rasmi kampeni zake za Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, ...

Read More »

Mbatia atoa siri upinzani kutoungana uchaguzi mkuu 2020

JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania, amesema ukosefu wa uaminifu ndiyo sababu vyama vya siasa vya upinzani kutofikia mwafaka wa kuungana katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe ...

Read More »

Barbara amrithi Senzo Simba

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Simba imemtangaza Barbara Gonzalez Kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endeleaa) Barbara ametangazwa leo Jumamosi tarehe 5 Septemba 2020 na ...

Read More »

NCCR-Mageuzi wamkosoa IGP Sirro

CHAMA cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania kimeoneshwa kusikitishwa na kauli ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Simon Sirro aliyesema ataweka kambi visiwani Zanzibar, kwa ajili ya kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa tarehe ...

Read More »

NCCR-Mageuzi wazindua Ilani ya Mwafaka wa Kitaifa

CHAMA cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania kimezindua Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu wa Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020, waliyoipa jina la ‘Ilani ya Mwafaka wa Kitaifa’. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es ...

Read More »

Kanisa Katoliki latoa tamko uchaguzi mkuu Tanzania

KANISA Katoliki nchini Tanzania, limevitaka vyombo vyote vinavyosimamia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kutenda haki ili kutoivuruga amani iliyopo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Wito huo umetolewa na Rais ...

Read More »

Polisi yawadaka wagombea wanaofuatilia rufaa NEC

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma limewakamata wagombea ubunge na udiwani kutoka Chama cha Demokraaia na Maendeleo (Chadema) waliokuwa wanakwenda Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) zilizopo Njedengwa ...

Read More »

Chadema yaanza safari kutafuta uongozi Kinondoni

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Kinondoni, Dar es Salaam, kimeanza safari ya kusaka uongozi kata na jimbo hilo, katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. ...

Read More »

Mnyika: NEC turudishieni wagombea ili tupimane ubavu

JOHN Mnyika, Katibu Mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwarejesha wagombea wao wa madiwani na wabunge ili wapimane ubavu na ...

Read More »

Alicia: Nilivutiwa na Lissu, nilidengua dengue kwanza

ALICIA Magabe, mke wa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameeleza jinsi walivyokutana na kukubaliana kisha kufunga ndoa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … ...

Read More »

Profesa Mkumbo: Tutajenga ukumbi wa michezo wa kisasa

MGOMBEA ubunge wa Ubungo, Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Kitila Mkumbo amesema, akichagulia atahakikisha anaishaiwi Serikali kujengwa ukumbi wa kisasa wa michezo (Sports Arena) ndani ya ...

Read More »

Profesa Mkumbo aanika vipaumbele 10

PROFESA Kitila Mkumbo, mgombea ubunge wa Ubungo, Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amebainisha vipaumbele kumi atakavyokwenda kuvifanyia kazi endapo atachaguliwa katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 ...

Read More »

Chadema, TBC wamaliza tofauti zao

MGOGORO baina ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), umemalizika baada ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kuwakutanisha viongozi wakuu wa taasisi hizo. Anaripoti ...

Read More »
error: Content is protected !!