Daily Archives: September 3, 2020

Membe awafariji wahanga wa mafuriko

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe amewafafiji wahanga wa mafuriko Kata ya Njinjo wilayani Kilwa mkoani Lindi. Anaripoti Faki Sosi, Lindi … (endelea). Mafuriko hayo yalitokea Januari 2020 ...

Read More »

Magufuli aahidi kusimamia sekta ya madini

JOHN Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameahidi kuimarisha mifumo ya kisera na kisheri kwenye sekta ya ...

Read More »

Bodi 100 taasisi za kisiasa, dini njiapanda 

WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) nchini Tanzania, imezitaka Bodi za Wadhamini wa Taasisi 100 ambazo hazijafanya marejesho ya wadhamini kufanya hivyo haraka kabla hatua hazijachukuliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Wanasiasa wanaodhalilisha wanawake wawajibishwe

WANAMTANDAO wa Katiba, Uchaguzi na Uongozi ambao ni watetezi wa haki za wanawake na wasichana, wamelaani kauli za udhalilishaji zilizoanza kutolewa na baadhi ya wanasiasa katika kampeni za Uchaguzi Mkuu ...

Read More »

Jeshi la Israel lajikoroga

DUNIA imelaani hatua ya mwanajeshi wa Jeshi la Israel, kumkandamiza kwa kifuti cha mguu kwenye shingo ya muandamanaji wa Palestina. Inaripoti Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC). Picha ya tukio hilo ...

Read More »

Kikwete awafariji wagombea CCM

JAKAYA Mrisho Kikwete, Rais mstaafu wa Tanzania, amewataka wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano wa tarehe 28 Oktoba 2020, kutonyimwa usingizi na maneno ya vyama ...

Read More »

Kampeni uwajibikaji inavyowafikia wenye ulemavu

SHIRIKA linaloshughulikia vijana na ulemavu la Raleigh Tanzania mkoani Morogoro, limewafikia watu 90 wanaoishi na ulemavu katika mikoa mitatu. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea) Mikoa iliyofikiwa na shirika hilo ni Dodoma, ...

Read More »

Rungwe: Nikiwa rais, nitauza ndege za Magufuli

HASHIMU Rungwe, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chaumma amesema, iwapo atachaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo, atauza ndege zilizonunuliwa hivi karibuni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ...

Read More »

Lowassa amnadi mwanae Monduli, amtumia ujumbe Magufuli

EDWARD Lowassa, Waziri Mkuu wa zamani nchini Tanzania, amemtumia ujumbe mgombea urais wan chi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli kuelekea Uchaguzi  Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 ...

Read More »

Milioni 18 wapona corona dunia

MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani yamefikia milioni 26.18, waliopona milioni 18.44 na waliofariki kutokana na ugonjwa huo ni 867,370. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea) Mtandao wa worldometer ...

Read More »

Watumishi Chadema wahusishwa uchomaji ofisi yao Arusha

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha nchini Tanzania, limewakamata watu watatu wakituhumiwa kuchoma moto ofisi za chama kikuu cha upinzani nchini humo Chadema, Kanda ya Kaskazini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha ...

Read More »
error: Content is protected !!