Daily Archives: September 2, 2020

ACT-Wazalendo waja 50 kwa 50

CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania kimesema, endapo kitaingia madarakani baada ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 20200, kitaweka usawa wa kijinsia wa 50 kwa 50 kwenye uongozi. Anaripoti Faki ...

Read More »

Membe awataka wananchi kumuuliza Magufuli maswali 4

BERNARD Membe, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, amewataka wananchi wa Kilwa Mkoa wa Lindi, kuumuuliza maswali manne, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais John Pombe Magufuli. Anaripoti Faki ...

Read More »

Lissu amwachia swali Magufuli 

TUNDU Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemtaka Rais John Magufuli aeleze ukweli kuhusu watu ...

Read More »

Mbowe: CCM hawajiamini, akumbushia mil 50 kila kijiji

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakijiamini na kimejaa hofu dhidi ya chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Shinyanga … (endelea). Ametoa ...

Read More »

Alicia Lissu: Sitakwenda Ikulu kupika uji

ALICIA Magabe, mke wa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema, atakapokwenda Ikulu hatobaki kuangalia tamthilia au kupika uji. Anaripoti Mwandishi Wetu, Shinyanga ...

Read More »

Jaji Mkuu: Kesi za uchaguzi zisicheleweshwe

MAJAJI wa Mahakama ya Rufani Tanzania wametakuwa kutochelewesha kutoa uamuzi wa kesi za kisiasa pasipo na sababu za msingi kwa kuwa, huwa na mvuto kwa wananchi. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea). Prof. ...

Read More »

Kitabu cha kumpata mke/mme bora chazinduliwa

KATIBU Tawala Wilaya ya Kinondoni, Stella Msofe amezindua Kitabu cha ‘Jinsi ya Kumpata Mpezi Bora wa Maisha’ kilichotungwa na Mchungaji wa Kanisa la Power of God Fire, Justine Kipeta. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Magufuli nusura awatumbue DED, DC mkutanoni

JOHN Mwaipopo, Mkuu wa Wilaya ya Igunga (DC) na Revocatus Kuuli, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya hiyo (DED) mkoani Tabora, nusura watumbuliwe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Igunga … (endelea). Ni ...

Read More »

CUF wakosoa kauli ya Maalim Seif

KAULI ya Maalim Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo kwamba ‘vijana wawe tayari,’ imekosolewa vikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Mussa Haji Kombo, mgombea urais ...

Read More »

Dawasa yawafikisha kortini wadaiwa sugu

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) nchini Tanzania, imeanza kuwachukulia hatua za kisheria wateja wake wanaoshindwa kulipa bili za maji kwa kuwafikisha mahakamani wadaiwa sugu ...

Read More »

NEC yaunda kamati kuchunguza pingamizi, malalamiko

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeunda Kamati za Maadili ili kushughulikia pingamizi na malalamiko ya wagombea kuhusu ukiukwaji wa maadili ya uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti ...

Read More »
error: Content is protected !!