Daily Archives: September 1, 2020

Membe ataja mambo 4 yaliyomfukuzisha CCM

BERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, ameweka hadharani mambo manne yaliyosababisha kufukuzwa Chama Cha Mapindu (CCM). Anaripoti Faki Sosi, Lindi (endelea). Membe alifukuzwa CCM tarehe 28 Februari 2020 ...

Read More »

Zitto aichongea CCM kwa wananchi

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amewataka Watanzania wasikipigie kura Chama Chama Mapinduzi  (CCM) kwani kimeshindwa kutekeza ahadi walizoahidi kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2015. ...

Read More »

Maalim Seif: CCM ijiandae kuondoka itake isitake

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, chama hicho kimejiandaa kushika dola na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kijiandae kuondoka ‘taka isitake’ baada ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano ...

Read More »

Mwigulu amponda Lissu, Nyalandu mbele ya JPM 

DAKTARI Mwigulu Nchemba, mgombea ubunge Iramba Mashariki Mkoa wa Singida kupitia CCM, ameanza kumchokonoa Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chadema na Lazaro Nyalandu, mbombea ubunge Singida Kaskazini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida ...

Read More »

Dawasa: Wananchi msipotoshwe kipindi cha uchaguzi, maji yanakuja

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), imewataka wakazi wa maeneo ya Goba, Tegeta, Madale, Mivumoni na Salasala kutosikiliza maneno ya wanasiasa wanaopotosha juu ya upatikanaji ...

Read More »

Mgombea udiwani CUF aangua kilio kwenye kampeni

SALUM Mwinyikheri, mgombea udiwani katika Kata ya Mumbaka, Masasi mkoani Mtwara, ameangua kilio mbele ya wananchi wakati akiomba kura. Anaripoti Mwandishi Wetu, Masasi … (endelea). Akihutubia wananchi wake kwenye mkutano aliouandaa, ...

Read More »

Rais Magufuli: Hakuna kuzaa kwa mpango

DAKTARI John Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema hakuna haja ya watu kuzaa kwa mpango kwa kuwa Serikali yake inatoa elimu bure. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Lissu: Nitafuta sheria hizi nikiingia Ikulu

TUNDU Lissu, mbombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kufuta sheria zote kandamizi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha…(endelea). Ametoa ahadi hiyo jana Jumatatu tarehe 31 Agosti 2020, ...

Read More »

Magufuli: Miaka 5 ilikuwa onjaonja

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli amesema, iwapo atapewa ridhaa na wananchi kuongoza Tanzani kwa awamu ya pili, kasi yake ya maendeleo itakuwa kubwa ...

Read More »

Kinana ahofia CCM kuanguka

ABDULRAHMAN Kinana, Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameonesha hofu ya kuanguka kwa chama hicho endapo wanachama wake watapuuza kupiga kura. Anaripoti Mwandishi Wetu, Bagamoyo … (endelea). Amesema, baadhi ...

Read More »

Wizara ya Elimu Tanzania yatoa maagizo vyuo vya maendeleo 

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, imevitaka Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDCs) kujikita kutoa mafunzo ya fani zinazopendwa na zinazotoa ajira badala ya kuendelea kuwa na fani ...

Read More »

Watumishi waliogombea ubunge wakashindwa warejeshwa kazini, waonywa

WATUMISHI wote wa umma waliokuwa wametangaza nia kugombea ubunge na kushindwa katika kura za maoni, wametakiwa kurudi kazini kuanzia kesho Jumanne tarehe 1 Septemba 2020 kuendelea na utumishi wao wa ...

Read More »
error: Content is protected !!