Monthly Archives: August 2020

Magufuli awapokea mabalozi wa Marekani, Vietnam

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amepokea hati za utambulisho za mabalozi wawili walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Waliowasilisha hati hizo Ikulu ...

Read More »

ACT-Wazalendo yanza kupitia ‘mafaili’ ya watia nia

KAMATI Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, imeketi leo tarehe 2 Agosti 2020 ikiwa ni maandalizi ya kuelekea Mkutano Mkuu. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea). Wakati wa ufunguzi wa kikao ...

Read More »

Lissu kupenya Urais Chadema?

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ndio jina linalokita kwenye vichwa vya wengi kuhusu kupitishwa kwake kuwania urais wa Tanzania Bara. Anaripoti Faki Sosi, Dar ...

Read More »

FIFA: Ya Sepp Blatter yamkuta Infantino

TUHUMA za rushwa ndani ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), limechepua tena na sasa Gianni Infantino, rais wa shirika hilo amefunguliwa jalada la uchunguzi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Infantino anatuhumiwa ...

Read More »

Ngoma bado mbichi CCM

KAULI ya Kasim Majaliwa, Waziri Mkuu na Humphrey Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwamba ‘wateule hawajapatikana,’ inaumiza vichwa waliopitishwa kwenye kura za maoni. Anaripoti ...

Read More »

Arsenal waipiga Chelsea, watwaa ubingwa FA CUP

PIERRE- Emerick Aubameyang, kiungo mshambuliaji wa Arsenal ameiwezesha timu yake kutwaa ubingwa wa Kombe la FA CUP nchini Uingereza kwa kuofungia magoli 2-1 dhidi ya Chelsea. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea) ...

Read More »

Mwamyeto atua Yanga, Niyonzima Azam

USAJILI wa wachezaji wa Ligi Kuu ya Vodamom Tanzania Bara kwa msimu ujao wa 2020/21 umeendelea kushika kasi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea) Mabingwa wa kihistoria, Timu ...

Read More »

Waziri Ummy atoa darasa la unyonyeshaji watoto

ULISHAJI wa mtoto usio sahihi unaochangiwa na mama kuelemewa na majukumu mengi ya kazi hivyo kukosa muda wa kutosha wa kumtunza mtoto ni sababu kubwa ya utapiamlo kwa watoto. Anaripoti ...

Read More »

Nondo: Mahakama iwape dhamana viongozi Bavicha

NGOME ya Vijana ya Chama Cha ACT-Wazalendo kimelaani viongozi wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), kunyimwa dhamana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Samia afungua maonyesho ya nanenane, atoa maagizo nchi nzima

SERIKALI ya Tanzania, imeagiza wizara, taasisi za umma na binafsi kutumia maonesho ya kilimo ‘Nanenane’ kama jukwaa la wakutanisha wadau wake, kwa ajili ya kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazowakabili. Anaripoti ...

Read More »

727 wakutwa na corona Kenya, vifo vyafikia 364

SERIKALI ya Kenya, imetangaza wagonjwa wapya 727 wa virusi vya corona (COVID-19) baada ya kupima sampuli 6,371 ndani ya saa 24 zilizopita. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kenya imekuwa na ...

Read More »

Uchaguzi mkuu 2020: NEC yasema wapigakura ni milioni 29, vituo 80,155

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imesema idadi ya wapigakura katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano Oktoba 28 2020 ni milioni 29 huku vituo vya kupigakura vitakuwa 80,155. Anaripoti ...

Read More »

Kocha Simba: Tumekuja kushinda fainali

KULEKEA mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Namungo FC, Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Sven Vandenbroeck amesema, wamekwenda Sumbawanga Mkoa wa Rukwa kucheza fainali hiyo ...

Read More »

NCCR-Mageuzi yatoa vifaa vya uchaguzi Dodoma

CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi kimeanza kugawa vifaa vya uchaguzi kama bendera, katiba na kadi kwa wagombea wake wa ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe ...

Read More »

Saa 72 za moto Chadema

CHAMA Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kinaingia siku tatu ngumu za mchakato wa kupata mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba ...

Read More »

Hatma ya Mbao FC, Mbeya City Ligi Kuu leo

KLABU za Mbao FC pamoja na Mbeya City zinashuka dimbani leo katika michezo ya marudiano ya mtoano (Play off) katika harakati za kuwania kusalia Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu ...

Read More »

TFF yafungua dirisha la usajili

SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania TFF limefungua dirisha la usajiri kwa klabu za Ligi Kuu, Ligi daraja la kwanza, Daraja la pili na Ligi Kuu ya wanawake kwa kipindi ...

Read More »

Tanzania yapiga ‘stop’ ndege za Kenya

SERIKALI ya Tanzania imezuia ndege za Shirikla la Ndege la Kenya (KQ) kutua nchini humo kuanzia leo Jumamamosi tarehe 1 Agosti 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »
error: Content is protected !!