CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeahidi kumrudisha Profesa Mussa Assad, katika nafasi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2020MKUTANO Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo uliofanyika jana tarehe 5 Agosti 2020, jijini Dar es Salaam umepitisha Ilani zake Uchaguzi Mkuu wa tarehe...
By Regina MkondeAugust 6, 2020MKUTANO Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, umefanya marekebisho ya Katiba ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Mabadiliko hayo...
By Regina MkondeAugust 6, 2020MAALIM Seif Shariff Hamad, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, amemtumia salamu Dk. Hussein Mwinyi,...
By Masalu ErastoAugust 5, 2020WAGOMBEA watatu wamechukua fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020....
By Regina MkondeAugust 5, 2020BERNARD Kamilius Membe, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha upinzani nchini humo cha ACT-Wazalendo ameeleza mikakati atakayoifanya yeye na chama chake, pindi...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020JUMATANO ya tarehe 28 Oktoba 2020, Watanzania wenye sifa za kupiga kura, watakuwa na fursa ya kujitokeza kuwachagua madiwani, wabunge na Rais. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020MKUTANO Mkuu wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, kimewateua Bernard Membe na Maalim Seif Sharif Hamad kuwa wagombea urais...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020SERIKALI imetoa wito kwa Watanzania kutunza miundombinu nchini ili fedha zielekezwe kwenye maeneo mengine ya maendeleo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Wito huo umetolewa...
By Danson KaijageAugust 5, 2020FATMA Karume, Rais Mstaafu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, ametoa somo la demokrasia kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, unaofanyika leo...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020MWANASIASA machachari wa upinzani nchini Tanzania,Tundu Antipas Lissu, amemuonya kada wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bernard Membe, kuwa upinzani wa sasa...
By Regina MkondeAugust 5, 2020KIONGOZI wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amechambua masuala mbalimbali ambayo chama hicho endapo kikiibuka mshindi katika...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020OFISI ya Msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania, imeendelea kusisitiza vyama vya siasa kuzingatia sheria za nchi katika kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020HUMPREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kukishughulikia Chama cha Demokrasia...
By Regina MkondeAugust 5, 2020TUNDU Antipus Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameibua shangwe ndani ya Mkutano Mkuu wa ACT-Wazalendo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kutokuwa na simile kwa wanachama wake, waliopita kwenye kura za maoni kisha kukutwa na makandokando. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeAugust 5, 2020MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, endapo watashindwa kihalali katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 watakuwa...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020MIOAMBA miwili ya siasa nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, inatarajiwa ‘kupigana kumbo’ katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi (NEC),...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, kinafanya mkutano mkuu wa chama hicho ukiwa na ajenga mbili kuu kuelekea Uchaguzi Mkuu...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaanza kutoa fomu za uteuzi kwa wagombea urais wa Tanzania na makamu wake, kuanzia leo Jumatano tarehe...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeeleo (Chadema), kimesema kitatumia siku 60 za kampeni za uchaguzi kwa kasi kufidia miaka mitano ya kuwa kigzani katika...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020MKUTANO Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, umemteua Tundu Antipus Lissu, kuwa mgombea urais wa nchi hiyo utakaofanyika Jumatano...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2020SAID Issa Mohamed, ameteuliwa na Mkutano Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuwa mgombea urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2020MKUTANO Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umepitisha Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Ilani hiyo...
By Regina MkondeAugust 4, 2020NDANI ya siku 100 za utawala mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), endapo kitapata ridhaa ya wananchi, zitakuwa za kimapinduzi. Anaripoti...
By Regina MkondeAugust 4, 2020SAFARI ya kupeleka vilio ama vicheko kwa wateule wake waliopita kwenye kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inazidi kushika kasi....
By Regina MkondeAugust 4, 2020OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tazania, umetoa wito kwa vyama vya siasa nchini humo kuhakikisha wanazingatia sheria na taratibu. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2020TAASISI ya Mwalimu Nyerere imesema, Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 ukiwa wa amani, huru na haki utawezesha kupatikana viongozi bora....
By Mwandishi WetuAugust 4, 2020MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kukubali kushirikiana katika...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2020KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, John Mnyika amesema, mgombea wao wa urais atakwenda kuchukua fomu za urais...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2020JAJI Francis Mutungi, Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, amekionya Chama Kikuu cha Upinzani nchini huko Chadema kuacha kukiuka Katiba na Sheria...
By Regina MkondeAugust 4, 2020CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinafanya mkutano mkuu wake leo Jumanne tarehe 4 Agosti 2020 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar...
By Masalu ErastoAugust 4, 2020WATU 11 wakiwemo viongozi wa Chama Kikuu cha Ushirika wilayani Karagwe (KDCU LTD), Mkoa wa Kagera wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba kwa...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2020TUNDU Lissu, mgombea mteule wa urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametuma salamu kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2020WAJASIRIAMALI wadogo maarufu ‘machinga’ eneo la Gongolamboto wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, wamemmwomba, Rais John Magufuli wa Tanzania kutatua mgogoro wa...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2020BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema) kimependekeza kwa mkutano mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu kuwa mgombea mwenza wa urais...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2020BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema) kimependekeza kwa mkutano mkuu wa chama hicho, Said Issa Mohamed kuwa mgombea Urais wa...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2020TUNDU Antipus Lissu, amependekezwa na wajumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema) kuwa mgombea urais wa chama hicho katika...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2020NAHODHA wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi pamoja na mshambuliaji raia wa Congo, David Molinga wameachwa rasmi na uongozi wa klabu hiyo mara baada...
By Masalu ErastoAugust 3, 2020WAJUMBE wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamewabana watia nia wa urais kupitia chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Hamisi MgutaAugust 3, 2020SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia kwa kipindi cha miaka miwili na faini ya Sh. 8 milioni, aliyekuwa kocha wa Yanga,...
By Kelvin MwaipunguAugust 3, 2020FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, ameacha kugombea urais ili ajenge chama hicho. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es...
By Hamisi MgutaAugust 3, 2020MSANII wa maigizo Burton Mwambe (35) maarufu kwa jina la Mwijaku, sasa amerejea uraiani baada ya kukaa siku tano mahabusu. Anaripoti Faki Sosi,...
By Faki SosiAugust 3, 2020VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama cha ACT-Wazalendo, wapo kwenye meza ya mazungumzo ya kuunda nguvu moja ili kuing’oa...
By Regina MkondeAugust 3, 2020PAUL Makonda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameomba msamaha kwa yeyote aliyemkosea wakati akitekeleza majukumu ya ukuu wa mkoa wa...
By Regina MkondeAugust 3, 2020PAUL Makonda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, asilimia 70 ya wakazi wa jiji hilo ni wambea. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeAugust 3, 2020BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinafanyika leo Jumatatu tarehe 3 Agosti 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2020CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema, kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, hakitaruhusu sehemu yoyote Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupita bila kupingwa. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2020BERNARD Membe, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo, amepewa cheo cha ‘mshauri wa chama’ hicho. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea)....
By Faki SosiAugust 3, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeeleza kwamba hakitakwama kumpitisha Tundu Lissu kwa sababu ya kuhofia kesi zake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2020