JACOB Paul Nyangusi, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) nchini Tanzania, itamfunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana...
By Mwandishi WetuAugust 13, 2020CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania kitateua wagombea ubunge, uwakilishi na viti maalum tarehe 22 Agosti 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)...
By Mwandishi WetuAugust 13, 2020KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) pamoja na Halmashauri ya Mji wa Geita wamesaini makubaliano ya utekelezaji wa Mpango wa kusaidia Jamii...
By Mwandishi WetuAugust 13, 2020TAASISI za dini nchini Tanzania- Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) na Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)...
By Mwandishi WetuAugust 13, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ihakikishe Watanzania hawarubuniwi ili watumie vizuri utashi wao...
By Mwandishi WetuAugust 13, 2020MUDA mchache baada ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kutoa maamuzi ya kesi ya kimkataba kati ya klabu ya Yanga na...
By Kelvin MwaipunguAugust 12, 2020BERNARD Morrison amefanikiwa kuibwaga klabu ya Yanga kwenye kesi ya kimakataba iliyokuwa inasikilizwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho...
By Kelvin MwaipunguAugust 12, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimetoa orodha ya pili ya walioteuliwa kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2020JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limewataka raia kuondoka porini karibu na mpaka wake na taifa la Msumbiji, wakati huu wanapojiandaa kupambana na...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2020RAIS wa Namibia, Hage Geingob amekataa kupokea fidia iliyotolewa na serikali ya Ujerumani, kama fidia ya mauaji ya kimbari. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa...
By Masalu ErastoAugust 12, 2020MCHUNGAJI Peter Msigwa, aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini amesema, hana imani na baadhi ya watendaji wa uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu wa tarehe 28...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2020JOE Biden, mgombea urais kupitia Chama cha Democratic nchini Marekani, amemteua Kamala Harris, Seneta wa California kuwa mgombea mwenza wake. Inaripoti mitandao ya...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2020TAASISI ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) inakusudia kuboresha mitaala ya shahada mbili za umahiri (masters) ili kuendana na ushindani wa soko la...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na vyombo vya dola nchini Tanzania, vimetakiwa kuchukua hatua kali dhidi ya wanasiasa na watu wanaotoa lugha...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2020INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amesema, kuna viongozi wa siasa wanaashiria shari kwenye kauli zao na kwamba, ‘kesho’ wasiilamu...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2020KAMATI ya Sheria na hadhi ya Wachezaji inatarajia kutoa maamuzi juu ya kesi ya kimkataba kati ya mchezaji Benard Morrison na uongozi wa...
By Kelvin MwaipunguAugust 12, 2020JOHN Shibuda, mgombea urais wa Tanzania kupitia chama cha Ada- Tadea amesema, iwapo Watanzania watamchagua katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2020TAKRIBANI wanachama 8,000 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), walioshiriki mbio za ubunge kupitia chama hicho, sasa wako matumbo joto, kufuatia kuibuka kwa taarifa,...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2020FOMU za kuwania ubunge na udiwani katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 202 zinaanza kutolewa leo Jumatano. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2020MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema, iwapo atapewa ridhaa ya kuwa rais jambo la kwanza...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Manyara, inamshikilia mkazi wa Mjini Babati, Yuda Sendeu akidaiwa kuzuia Sh. 44.7 milioni...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2020WAGOMBEA kumi wa urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 wamechukua fomu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)....
By Mwandishi WetuAugust 8, 2020WANAWAKE wa Chama Cha Wananchi (CUF), wamemkabidhi Prof. Ibrahim Lipumba, Mgombea wa chama hicho wa Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...
By Regina MkondeAugust 8, 2020BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), leo Jumamosi tarehe 8 Agosti 2020 unafanya kura za maoni kwa wagombea...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2020WAZIRI wa Kilimo wa Tanzania, Japhet Hasunga amezindua rasmi huduma maalum ya kuhakiki pembejeo inayofahamika kwa jina la ‘T-hakiki.’ Anaripoti Mwandishi Wetu, Simiyu...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2020TUNDU Antiphas Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema amekabidhiwa fomu za kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020 na...
By Danson KaijageAugust 8, 2020KLABU ya Yanga leo imetangaza rasmi kuachana na wachezaji wake wakongwe, Kelvin Yondani na Juma Abdul baada ya kutofikia makubaliano baada ya mikataba...
By Kelvin MwaipunguAugust 7, 2020YEREMIA Kurwa Maganja ameteuliwa na Mkutano Mkuu wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi kugombea urais wa nchi hiyo katika Uchaguzi Mkuu...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanznaia, Kassim Majaliwa, amekagua ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) akiridhishwa na kiwango na kasi ya maendeleo ya...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2020WANACHAMA watatu wa chama cha NCCR-Mageuzi, wamejitoa kuwania urais urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2020BERNARD Kamilius Membe, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha ACT-Wazalendo, amechukua fomu ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2020MAKAMU Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo-Zanzibar, Juma Duni Haji maarufu ‘Babu Duni’ amekitaka Chama cha NCCR-Mageuzi kukubali kushirikiana na vyama vingine vya upinzani...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kati, kimeandaa mapokezi ya aina yake pindi Tundu Lissu atakapokanyaga ardhi ya jiji hilo. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageAugust 7, 2020CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeeleza, rais hapaswi kuchaguliwa kwa kuhurumiwa kutokana na kupigwa risasi ama kufukuzwa kwenye chama chake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeAugust 7, 2020ALHAD Mussa Salum, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, Kama Sheikh Aboubakar Zuberi, Mufti Mkuu wa Tanzania angemruhusu kujiunga na...
By Regina MkondeAugust 7, 2020TAASISI ya kudhibiti ubora wa mbegu Tanzania (TOSCI) imefanikiwa kudhibiti uwepo wa mbegu feki baada ya kuimarisha matumizi ya lebo maalum ikiwemo kuweka...
By Christina HauleAugust 7, 2020UFUGAJI wa mnyama Sungura umekuwa na faida nyingi bila watu kujua duniani na hivyo kubaki wakifuga wanyama wengine. Anaripoti Christina Haule, Morogoro …...
By Christina HauleAugust 7, 2020MAWAKALA wa usambazaji mbolea kwa wakulima nchini wametakiwa kuweka mbolea zenye ujazo wa aina mbalimbali madukani ili wakulima wenye uwezo wowote wa kifedha...
By Christina HauleAugust 6, 2020AWAMU ya kwanza ya Ujenzi wa Mradi wa maji wa Jeti-Buza jijini Dar es Salaam inaendelea kwa kasi ambapo mtandao wa bomba la...
By Masalu ErastoAugust 6, 2020WANACHAMA watatu wa chama cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania, watachuana kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano...
By Hamisi MgutaAugust 6, 2020HATMA ya kuwapo kwa ushirikiano wa vyama viwili vya siasa nchini Tanzania vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT- Wazalendo kuelekea...
By Yusuph KatimbaAugust 6, 2020NCHI ya Bangladesh imetangaza kupeleka msaada wa chakua na dawa haraka baada ya Mji wa Beirut, Lebanon kukumbwa na janga la mlipuko. Inaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2020JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, ameanza kupigiwa kampeni za kuongoza Bunge hilo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya uchaguzi...
By Regina MkondeAugust 6, 2020MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Rais John Pombe Magufuli, amependekeza kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba 2020 za...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2020MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli amesema, Serikali anayoingoza, imefanya mambo makubwa kwa wananchi huku akitamani...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2020KAULI zilizokuwa zikitolewa na vyama vya upinzani nchini Tanzania kwamba ‘tutalinda kura zetu,’ sasa zinatolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Regina MkondeAugust 6, 2020ABDALLAH Shaibu (Ninja) amerejea tena ndani ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya La Garaxy inayoshiriki ligi kuu nchini Marekani....
By Kelvin MwaipunguAugust 6, 2020MSHAMBULIAJI wa zamani wa klabu ya Mbao FC ya Mwanza, Waziri Junior ameibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara mwezi Julai katika...
By Kelvin MwaipunguAugust 6, 2020CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania kimeanza kumwaga tambo, mbwembwe na kejeli dhidi ya vyama pinzania kuelekea uchaguzi mkuu wa Jumatano tarehe 28...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2020DAKTARI John Pombe Magufuli amechukua fomu ya kuwania urais wa nchi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Alhamisi tarehe 6 Agosti 2020...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2020