Thursday , 28 March 2024

Month: August 2020

Michezo

Uhondo wa EPL kuanza Septemba 12

LIGI Kuu ya Uingereza (EPL) msimu wa 2020/21 itaanza tarehe 12 Septemba 2020 ikishuhudia mechi sita zikipigwa katika viwanja tofauti. Inaripoti Mitandao ya...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli aeleza walivyochambua, kujadili wagombea ubunge

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Rais John Pombe Magufuli, imewataka wajumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, kumtanguliza Mungu na...

Habari za SiasaTangulizi

Kamati Kuu CCM yamaliza kazi, wagombea ubunge kusuka au kunyoa kesho

JOTO la wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliojitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania ubunge wa majimbo na wale wa Viti Maalum, linazidi kupanda,...

Kimataifa

Marais wastaafu Marekani wamsulubu Trump

MARAIS wastaafu wa Marekani, Bill Clinton na Jimmy Carter wamesema Donald Trump, rais wa sasa wa Taifa hilo amesababisa vurugu kwa taifa hilo....

Habari za Siasa

Majaliwa awataka Watazania kubadilika, wapende vyao

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wabadilike na wajifunze kujivunia kilicho chao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pwani … (endelea). “Lazima tubadilike Watanzania,...

Habari Mchanganyiko

Sakata la THRDC: LHRC yaiangukia serikali ya Tanzania

FLUGENCE Massawe, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC), ameshauri mamlaka husika (Wizara ya Mambo ya...

Habari za Siasa

Utata watawala wagombea Chadema kunyimwa fomu

UTATA umeibuka katika majimbo manne ya uchaguzi baada ya Wakurugenzi wa Uchaguzi, kuwanyima fomu wagombea wateule wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)....

Michezo

Diamond kutumbuiza Simba Day, viingilio hadharani

MSANII wa kimataifa kutoka Tanzania, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz atakuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kilele cha tamasha la mabingwa wa soka wa...

Habari za Siasa

Mgombea wa 17 achukua fomu ya urais Tanzania

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha NLD, Maisha Mapya Muchunguzi amekabidhiwa fomu za uteuzi wa urais na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa...

KimataifaTangulizi

Maandamano yamng’oa Rais wa Mali

RAIS wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita ametangaza kujiuzulu pamoja na Waziri Mkuu wake, Boubou Cissé muda mfupi baada ya wanajeshi waasi kuwakamata na...

Habari za SiasaTangulizi

‘Mafaili’ wagombea ubunge mikononi mwa Magufuli

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli ameongoza kikao cha kamati kuu ya chama hicho Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Anaripoti...

Kimataifa

Michelle Obama amshambulia Rais Trump

VITA ya maneno kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Marekani Novemba 2020, sasa imebebwa na Michelle Obama, mke wa Rais mstaafu wa taifa hilo, Barack...

Habari za SiasaTangulizi

Ni hofu, woga THRDC?

MTANDAO wa Utetezi wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini Tanzania (Tanzania Human Rights Defenders Coalition -THRDC), hatimaye umetangaza kusitisha shughuli zake kwa...

Habari Mchanganyiko

2% ya mapato inawasubiri watu wenye ulemavu – Ndugai

JOB Ndugai, aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri, amewataka watu wenye ulemavu kufika katika halmashauri ili wapewe asilimia mbili za mapato kwa mujibu...

Habari Mchanganyiko

Polisi wauwa watu wanne

JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limeuwa watu wanne kwa risasi wakidai kuwa ni majibizano. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Mzee Moyo hatunaye

VISIWA vya Zanzibar na Pemba vimepata pigo, Mzee Hassan Nassoro Moyo ambaye ni miongoni mwa waasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964, amefariki...

Habari za Siasa

Lema: Nimechuku fomu niendelee kuwa mbunge

GODBLESS Lema, amechukua fomu ya kuwania Ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28...

Habari za Siasa

169 udiwani CCM wapeta Kilimanjaro

WAGOMBEA udiwani 169 kati ya 1145 ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), walioomba kuteuliwa kugombea udiwani kupitia chama hicho mkoani Kilimanjaro, wamepitishwa. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Waziri Kanyasu ataka Chuo cha Wanayamapori kutoa mafunzo bora  

CONSTATINE Kanyasu, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii ameitaka Bodi mpya ya magavana wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori (Mweka), kuhakikisha wanatoa mafunzo yenye...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru aongeza kiwewe CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimerudishwa nyuma tarehe ya kutaja majina ya waliopitishwa kugombea ubunge, udiwani na uwakilishi visiwani Zanzibar. Anaripoti Brightness Boaz, Dar...

Habari MchanganyikoTangulizi

THRDC yasitisha shughuli zake

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) imetangaza kusitisha shughuli zake nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea) Taarifa...

Kimataifa

Serikali, maaskofu wavurugana Zimbabwe

NCHINI Zimbabwe, Serikali imegoma kupokea barua iliyoandikwa na Baraza la Maaskofu la Katoliki ikilalamikia vitendo vya rushwa, unyanyasaji, umasikini na haki za binadamu....

Habari za SiasaTangulizi

Wiki ya vilio, vicheko CCM

SAFARI ya kuwania ubunge, uwakilishi (Zanzibar) na udiwani ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwenye uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, itahitimishwa...

Michezo

Ratiba ligi kuu hii hapa, Yanga na Simba Oktoba 18

BODI ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) 2020/21, imetoa ratiba ya ligi hiyo inayoshirikisha timu 18. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli aelezea mafanikio, changamoto uenyekiti SADC

DAKTARI John Magufuli, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Rais wa Tanzania amesema, katika miaka 40 tangu kuanzishwa kwa...

Habari za Siasa

Viongozi wa dini wakemea vurugu, kejeli na matusi uchaguzi mkuu 2020

VIONGOZI wa dini nchini Tanzania, wamekemea vitendo vya vurugu kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Kimataifa

Corona dunia yafikia milioni 21, waliopona 773,122

MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani, yamefikia milioni 21.8, waliopona milioni 14.5 huku waliofariki dunia kutokana na ugonjwa huo wakiwa 773,122. Inaripoti...

Michezo

Ihefu kuanza na Simba Ligi Kuu, Yanga na Tanzania Prisons

BODI ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) 2020/21, imetangaza ratiba ya mzunguko wa kwanza wa ligi hiyo inayoshirikisha timu 18. Anaripoti...

Habari za Siasa

Tutashinda uchaguzi, tukiwa wamoja – Mnyika

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka viongozi na wanachama wake kuanza mikakati ya chini kwa chini, ili kumsaidia Tundu Lissu, aliyepitishwa na...

Habari Mchanganyiko

Askofu ataka vijana kuondoka vijiweni

ASKOFU wa Kanisa la Mlima wa Moto, Jimbo la Dodoma na Nyanda za Juu Kusini, Sylvanus Komba amewataka vijana kuacha kukaa vijiweni na badala...

Habari za Siasa

Takukuru yamshikilia Mfanyabiashara Dodoma

TAALIB Karim Mbowe, mfanyabiashara na mmiliki wa Kampuni ya White Star Investiment jijini Dodoma anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...

Habari za SiasaTangulizi

Orodha ya wagombea ACT- Wazalendo, hii hapa

CHAMA cha ACT-Wazalendo. kimetangaza orodha ya wagombea 198 wa ubunge na uwakilishi, Tanzania Bara na Zanzibar.  Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Akitangaza...

Habari za Siasa

Kuchomwa ofisi za Chadema: Polisi waingia mtaani

WATU waliohusika na tukio la kuchoma Ofisi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini, sasa wanasakwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha…(endelea). Jeshi...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atashinda?

HARAKATI za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020 zinashika kasi. Tayari wagombea ngazi ya urais bara na visiwani wanajulikana. Anaandika Mwandishi...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Wanawake wanavyotishia Uchaguzi Mkuu 2020

KWA mara ya kwanza, Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu katikati ya wiki, Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 tangu mfumo wa vyama vingi uliporejea tena...

Michezo

David Kameta asaini Simba

KLABU ya Simba imemsajiri aliyekuwa beki wa Lipuli FC, David Kameta, kwa mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kuimalisha kikosi chao kuelekea...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Mkuu TAG ataka kura uchaguzi mkuu zihesabiwa hadharani

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk. Barnabas Mtokambali ameiomba Serikali nchini humo kuhakikisha Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe...

Habari za Siasa

Tanzania yatumia trilioni 1.1 kumaliza mgawo wa umeme

SERIKALI ya Tanzania imetumia Sh.1.1trilioni kumaliza tatizo la mgawo wa umeme. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Hayo amesema na Dk. Hassan Abbasi,...

Habari za Siasa

Rais Magufuli kukabidhi uenyekiti SADC J’tatu

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli anakabidhi rasmi kijiti cha Uenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kwa Rais wa Msumbiji,...

Michezo

Simba yatambulisha beki, mshambuliaji

MABINGWA wa Ligi Kuu ya soka Vodacom Tanzania Bara (VPL) 2019/20 timu ya Simba, imewatambulisha wachezaji wawili mshambuliaji na beki. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Msichague wenye kuhubiri chuki

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewataka Watanzania kutochagua wanasiasa wanaohubiri chuki na k6utoa maneno ya vitisho. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kiongozi huyo...

Habari MchanganyikoTangulizi

A-Z uamuzi wa TCRA kwa vyombo vya habari

KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa uamuzi katika malalamiko tisa ya watoa huduma ya utangazaji kwa makosa mbalimbali ya...

Habari za Siasa

Rais Magufuli: TAG jiengeni viwanda

RAIS John Magufuli ameshauri Kanisa la Assembly of God (TAG), kuelekenza nguvu katika ujenzi wa viwanda. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Ametoa...

Michezo

Simba yazindua nembo na jezi mpya

KLABU ya Simba leo Ijumaa 14 Agosti, 2020 imezindua nembo yake mpya na jezi zitakazotumika kwenye msimu ujao wa kimashindano 2020/21 katika michuano...

Habari za Siasa

JPM apewa tunzo ‘udhibiti corona’

RAIS John Magufuli amekabidhiwa tuzo ya ‘hongera’ kutokana na namna alivyokabiliana na ugonjwa wa Homa ya Mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19)....

Habari za Siasa

Lissu ajigamba ‘sipoi’

TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema licha ya Ofisi ya Kanda ya Kaskazini kuchomwa moto, ratiba yake...

Habari Mchanganyiko

Uchaguzi Mkuu 2020: Wanahabari watakiwa kuzingatia maadili, kuepuka kuchochea machafuko

WANAHABARI nchini wametakiwa kuandika habari zikiwemo za uchaguzi kwa kuzingatia maadili, sheria na kanuni ili kuepuka vichocheo vya machafuko nchini na duniani kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mdhamini abanwa ampeleke Lissu mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imempatia muda zaidi mdhamini wa Tundu Lissu ili amtafute na kumfikisha mahakamani baada ya...

Habari za Siasa

Prof.Lipumba: Njia ya Ikulu nyeupe

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amesema njia ya kuingia Ikulu ipo wazi. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Chadema yateua wagombea ubunge, uwakilishi Z’bar

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) visiwani Zanzibar, kimeteua wagombea 30 kati ya 50 wa ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28...

error: Content is protected !!