Monthly Archives: August 2020

NEC yateua 15 kugombea urais Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewateua wagombea 15 kugombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Wagombea hao ...

Read More »

Tundu Lissu ateuliwa kugombea urais Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Tundu Lisuu kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema na mgombea mwenza, Salum Mwalimu katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020. Anaripoti ...

Read More »

16 kuchuana ubunge Arusha Mjini

WAGOMBEA 16 wa vyama vya siasa nchini Tanzania, watachukuana kuwania Ubunge wa Arusha Mjini katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha…(endelea). Wagombea hao, wameteuliwa leo ...

Read More »

Mgombea CCK akwama kugombea urais Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), haijamteua David Mwaijojele wa Chama Cha Kijamii (CCK) kuwa mgombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020 baada ya kushindwa ...

Read More »

Rungwe ateuliwa kugombea urais Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Hashim Rungwe wa chana cha Chaumma kugombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020. Rungwe amekuwa mgombea wa 12 ...

Read More »

NEC yamteua Membe kugombea urais Tanzania  

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Bernard Membe kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo na mgombea mwenza, Profesa Omar Fakih Hamad kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba ...

Read More »

Kubenea atamba kuitwaa Kinondoni

ALIYEKUWA mbunge wa Ubungo, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Saed Kubenea, amejigamba kushinda kinyang’anyiro cha ubunge katika jimbo la Kinondoni. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Mdee: Gwajima?… tukutane jukwaani

HALIMA Mdee, Mgombea Ubunge Kawe, Dar es Salaam kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema ‘Gwajima (Josephat Gwajima) kitu gani.’ Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Amesema, kwenye ...

Read More »

Profesa Lipumba kugombea urais Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Wananchi (CUF) na mgombea mwenza, Hamida Abdallah Huweishi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano ...

Read More »

Rais Magufuli akagua magari 130 yaliyotaifishwa, atoa maagizo

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amekagua magari yaliyotaifishwa baada ya kuhusika katika matukio ya uhujumu uchumi kisha kuhifadhiwa katika kituo cha mabasi cha zamani Jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Maganja wa NCCR-Mageuzi ateuliwa kugombea urais Tanzania

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Semistocles Kaijage amemteua Yeremia Maganja wa NCCR-Mageuzi kuwa mgombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020. Anaripoti ...

Read More »

Cecilia ateuliwa kugombea urais Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemteua Cecilia Augustino Mwanga wa chama cha Demokrasia Makini kuwa mgombea urais wa Tanzania na Tabu Mussa Juma mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika ...

Read More »

Nitamnyoosha Gwajima, Mdee – Mgombea TLP

AMANDUS Komba, mgombea ubunge Kawe jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha TLP, amejigamba kuwaangushwa Halima Mdee (Chadema) na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Jospehat Gwajima (CCM) katika ...

Read More »

Rais Mstaafu Mauritania akamatwa, ahojiwa kwa rushwa

MOHAMED Ould Abdel Aziz (63), aliyekuwa Rais wa Mauritania (2008–2019), amekamatwa na kuhojiwa kwa tuhuma za rushwa alipokuwa madarakani. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Rais huyo, kwa wiki moja amekuwa mikononi mwa ...

Read More »

Dk. Lwaitama amchambua Magufuli, Lissu

WAGOMBEA wawili kwenye uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, wana mambo mazito ya kushawishi wananchi hivyo kufanya uchaguzi kuwa mgumu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na ...

Read More »

Shibuda wa tatu kuteuliwa kugombea urais Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemteua John Shibuda wa Ada Tadea kuwa mgombea urais wa Tanzania na Hassan Konde Kijongoo  kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 ...

Read More »

NEC yamteua Magufuli kugombea urais Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemteua Rais John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Tanzania na Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ...

Read More »

Tundu Lissu aibua hofu mpya

HOFU mpya imeanza kutanda nchini Tanzania juu ya hatma ya mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, kufuatia madai kuwa aweza kuenguliwa ...

Read More »

Nani kupenya kugombea urais, ubunge Tanzania?

MACHO na masikio ya Watanzania wengine yanaelekezwa Jiji la Dodoma kutakakofanyika uteuzi wa wagombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar ...

Read More »

Mtu mweusi apigwa risasi Marekani, maandamano yaibuka

MAANDAMANO yameibuka jimbo la Wisconsin nchini Marekani baada ya polisi kutuhumiwa kumpiga risasi mtu mweusi nchini humo, Jacob Blake. Inaripoti BBC…(endelea) Video zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zimeonesha Blake akipigwa ...

Read More »

Warioba ainyooshea kidole Takukuru, Rais Magufuli…

WAZIRI Mkuu mstaafu wa Tanzania, Joseph Sinde Warioba amesema, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inapaswa kuachwaa ili itekeleze wajibu wake pasina kuingiliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Chadema yaipiku CCM wagombea ubunge wanawake

VYAMA vya siasa nchini Tanzania, vimefanya uteuzi wa wagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 huku idadi ya wanawake ikiwa hairidhishi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Butiku awaonya wapinzani, wasimamizi wa uchaguzi

JOSEPH Butiku, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, amevita vyama vya upinzani nchini Tanzania, kuacha kuipinga Serikali kwa kutumia maneno ya matusi na kejeli ikiwemo kumsema vibaya hadharani Rais John ...

Read More »

Yanga kucheza na Aigle Noir kilele siku ya Mwananchi

KLABU ya Yanga inatarajia kucheza na timu ya Aigle Noir kutoka Burundi katika kilele cha Tamasha la Siku ya Mwananchi, linalotarajiwa kufanyika Jumapili 30, Agosti kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar ...

Read More »

CUF yatangaza wagombea ubunge 136

CHAMA Cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, kimewatangaza wagombea wake 136 wa ubunge katika majimbo ya Tanzania Bara. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea) Tanzania bara ina majimbo 214 na Zanzibar ...

Read More »

Sera kabambe ya wanawake, wenye umelavu na vijana yaandaliwa

JUKWAA la Katiba Tanzania (Jukata) na Ushiriki Tanzania wanaandaa sera ya kitaifa ya ushiriki wa wanawake, wenye ulemavu na vijana kwenye siasa na uteuzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). ...

Read More »

Milioni 16 wapona corona duniani

WAGONJWA milioni 16.08 wamepoma virusi vya corona (COVID-19) duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Mtandao wa worldometer umeripoti leo Jumatatu tarehe 24 Agosti 2020, kuwa maambukizo ya corona dunia yamefikia milioni 23.58 ...

Read More »

Wahariri Tanzania wawaonya wanasiasa

JUKWAA  la Wahariri Tanzania (TEF) limewataka wanasiasa nchini humo kutokutoa matamshi ya kuwachochea wananchi kujenga chuki dhidi ya wanahabari na vyombo vya habari hususani kipindi hiki cha kuelekea  Uchaguzi Mkuu ...

Read More »

Bayern mabingwa wa Ulaya

TIMU ya Bayern Munich ya Ujerumani imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mabigwa Bara la Ulaya (UEFA) kwa kuifunga PSG ya Ufaransa bao 1-0 lililofungwa na beki Kingsley Camon dakika ya ...

Read More »

147 mbaroni tuhuma dawa za kulevya K’njaro

JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, limewakamata watuhumiwa 147 mkoani humo kwa kujihusisha na makosa mbalimbali ikiwemo ya dawa za kulevya aina ya heroin, bangi, mirungi na pombe haramu ya ...

Read More »

Polisi yawadaka 12, tuhuma kuvuruga mkutano wa Lissu

JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, linawashikilia watu 12 Wilaya ya Hai kwa mahojiano wakituhumiwa kufanya vurugu na kushambulia kwa mawe mkutano wa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, Tundu ...

Read More »

Lissu awajibu wanaosema ameanza kampeni mapema

TUNDU Lissu, Mgombe urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, madai yanayotolewa kuwa atapingwa kwa kufanya kampeni kabla ya wakati ni ya kupuuzwa kwani hayana msingi ...

Read More »

Ummy: Nitafanya kampeni kitanda kwa kitanda, uvungu kwa uvungu

MGOMBEA Ubunge Tanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ummy Mwalimu amesema, atafanya kampeni shuka kwa shuka, kitandanda kwa kitanda na uvungu kwa uvungu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tanga … (endelea). ...

Read More »

Morrison atoa ya moyoni kuhusu Simba

KIUNGO mshambuliaji wa Simba raia wa Ghana, Bernard Morrison amesema kuwa klabu ya Simba ndio chuo cha mpira wa miguu nchini Tanzania na hakuna klabu nyingine. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar ...

Read More »

Manara amaliza utata

MSEMAJI wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa bado yupo sana ndani ya klabu ya Simba na wala hana mpango wa kuondoka katika siku za hivi karibuni kama taarifa ...

Read More »

Cedric Kaze kocha mpya Yanga

UONGOZI wa klabu ya Yanga umemtangaza Cedric Kaze kuwa kocha mpya wa klabu ya Yanga, ambaye atakiongoza kikosi hicho katika misimu ujao wa mashindano. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea) Kaze ...

Read More »

Kongamano la kitaifa kuwakutanisha viongozi Dodomna, JPM mgeni rasmi

JUMUIYA ya Maridhiano Tanzania inaratajia kufanya kongamano la maombi kwa ajili ya kuombea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kongamano hilo litakalofanyika ...

Read More »

Wabunge 90 CCM wafyekwa 

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, ‘kimewakata’ wabunge wake zaidi ya 90 waliokuwa wakitetea nafasi zao ndani ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti ...

Read More »

Ajali ya basi yaua watano, 26 majeruhi Muleba

WATU zaidi ya watano wamepoteza maisha huku 26 wakijeruhiwa katika ajali ya basi iliyotokea leo Ijumaa tarehe 21 Agosti 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kagera … (endelea). Ajali hiyo imetokea kwenye ...

Read More »

Mawaziri wanne wakatwa ubunge 

MAWAZIRI wanaohudumu kwenye utawala wa awamu ya tano chini ya Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli ‘wamekatwa’ kwenye mchakato wa kuwania ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina ...

Read More »

Lissu akamilisha ujazaji fomu za urais Tanzania 

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, amekamilisha hatua za mwisho za ujazaji fomu za uteuzi ...

Read More »

Magufuli amteua Balozi Kijazi mkuu wa chuo Udom

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amemteua Balozi John Kijazi kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa iliyotolewa na Gerson Msigwa, ...

Read More »

Saa 48 za NEC kutatua uchukuaji fomu ubunge, udiwani

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imeagiza vyama vya siasa vilivyokumbwa na changamoto za wagombea wao kunyimwa fomu za uteuzi, kuwasilisha majina kwa wasimamizi wa uchaguzi katika maeneo ...

Read More »

Wanafunzi bora mtihani kidato cha sita 2020

MATOKEO ya kidato cha sita ya mtihani uliofanyika Juni/Julai 2020 yametangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles ...

Read More »

Matokeo kidato cha sita haya hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania, limesema watahiniwa 82,440 sawa na asilimia 98.35 ya watahiniwa 84,212 waliofanya mtihani kidato cha sita Juni/Julai 2020 wamefaulu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar ...

Read More »

Shule kumi bora kidato cha sita, Serikali yatamba 

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania, limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Matokeo hayo yametangazwa leo Ijumaa tarehe ...

Read More »

Membe awakaribisha ACT-Wazalendo waliokatwa CCM

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia chama cha upinzani ACT-Wazalendo, Bernard Kamillius Membe, amewakaribisha ndani ya chama hicho wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kuwania ubunge. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ...

Read More »

Panga la CCM lafyeka vigogo 75

WABUNGE takribani 75 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao walijitosa kutetea nafasi zao katika uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba mwaka huu, wameangukia pua. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Miongonu mwa ...

Read More »

Mtifuano utakavyokuwa majimbo nane ya uchaguzi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, kimetangaza orodha ya wagombea ubunge katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020, huku mchuano mkali ukitarajia kuonekana kwenye majimbo nane. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Wagombea ubunge CCM hawa hapa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza majina ya wagombea ubunge wa majimbo na viti maalum katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »
error: Content is protected !!