MAALIM Seif Shariff Hamad, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, amemtumia salamu Dk. Hussein Mwinyi,...
By Masalu ErastoAugust 5, 2020WAGOMBEA watatu wamechukua fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020....
By Regina MkondeAugust 5, 2020BERNARD Kamilius Membe, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha upinzani nchini humo cha ACT-Wazalendo ameeleza mikakati atakayoifanya yeye na chama chake, pindi...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020JUMATANO ya tarehe 28 Oktoba 2020, Watanzania wenye sifa za kupiga kura, watakuwa na fursa ya kujitokeza kuwachagua madiwani, wabunge na Rais. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020MKUTANO Mkuu wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, kimewateua Bernard Membe na Maalim Seif Sharif Hamad kuwa wagombea urais...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020SERIKALI imetoa wito kwa Watanzania kutunza miundombinu nchini ili fedha zielekezwe kwenye maeneo mengine ya maendeleo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Wito huo umetolewa...
By Danson KaijageAugust 5, 2020FATMA Karume, Rais Mstaafu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, ametoa somo la demokrasia kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, unaofanyika leo...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020MWANASIASA machachari wa upinzani nchini Tanzania,Tundu Antipas Lissu, amemuonya kada wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bernard Membe, kuwa upinzani wa sasa...
By Regina MkondeAugust 5, 2020KIONGOZI wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amechambua masuala mbalimbali ambayo chama hicho endapo kikiibuka mshindi katika...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020OFISI ya Msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania, imeendelea kusisitiza vyama vya siasa kuzingatia sheria za nchi katika kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020HUMPREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kukishughulikia Chama cha Demokrasia...
By Regina MkondeAugust 5, 2020TUNDU Antipus Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameibua shangwe ndani ya Mkutano Mkuu wa ACT-Wazalendo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kutokuwa na simile kwa wanachama wake, waliopita kwenye kura za maoni kisha kukutwa na makandokando. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeAugust 5, 2020MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, endapo watashindwa kihalali katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 watakuwa...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020MIOAMBA miwili ya siasa nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, inatarajiwa ‘kupigana kumbo’ katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi (NEC),...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, kinafanya mkutano mkuu wa chama hicho ukiwa na ajenga mbili kuu kuelekea Uchaguzi Mkuu...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaanza kutoa fomu za uteuzi kwa wagombea urais wa Tanzania na makamu wake, kuanzia leo Jumatano tarehe...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeeleo (Chadema), kimesema kitatumia siku 60 za kampeni za uchaguzi kwa kasi kufidia miaka mitano ya kuwa kigzani katika...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2020