Tuesday , 23 April 2024

Day: August 4, 2020

Habari za SiasaTangulizi

Lissu azidi kuruka vihunzi kugombea urais Tanzania

MKUTANO Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, umemteua Tundu Antipus Lissu, kuwa mgombea urais wa nchi hiyo utakaofanyika Jumatano...

Habari za Siasa

Mgombea Urais Chadema Z’bar: Nina wake watatu, watoto kumi ninaweza

SAID Issa Mohamed, ameteuliwa na Mkutano Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuwa mgombea urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...

Habari za Siasa

Ilani ya Chadema 2020 hii hapa

MKUTANO Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umepitisha Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Ilani hiyo...

Habari za Siasa

Siku 100 za Chadema Ikulu

NDANI ya siku 100 za utawala mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), endapo kitapata ridhaa ya wananchi, zitakuwa za kimapinduzi. Anaripoti...

Habari za Siasa

Siri iliyojaa hofu CCM

SAFARI ya kupeleka vilio ama vicheko kwa wateule wake waliopita kwenye kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inazidi kushika kasi....

Habari za Siasa

Msajili avitaka vyama vya siasa kuzingatia sheria

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tazania, umetoa wito kwa vyama vya siasa nchini humo kuhakikisha wanazingatia sheria na taratibu. Anaripoti...

Habari za Siasa

Butiku atamani uchaguzi mkuu uwe huru, amani

TAASISI ya Mwalimu Nyerere imesema, Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 ukiwa wa amani, huru na haki utawezesha kupatikana viongozi bora....

Habari za Siasa

Maalim Seif amtwisha Mbowe mzigo wa ushirikiano, yeye amjibu

MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kukubali kushirikiana katika...

Habari za SiasaTangulizi

Mnyika: Mgombea urais Chadema atachukua fomu Agosti 8

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, John Mnyika amesema, mgombea wao wa urais atakwenda kuchukua fomu za urais...

Habari za Siasa

Jaji Mutungi aionya Chadema kunajisi katiba, sheria

JAJI Francis Mutungi, Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, amekionya Chama Kikuu cha Upinzani nchini huko Chadema kuacha kukiuka Katiba na Sheria...

Habari za SiasaTangulizi

Shangwe zatawala mkutano mkuu Chadema

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinafanya mkutano mkuu wake leo Jumanne tarehe 4 Agosti 2020 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar...

Habari Mchanganyiko

Vigogo KDCU kortini tuhuma za utakatishaji milioni 900

WATU 11 wakiwemo viongozi wa Chama Kikuu cha Ushirika wilayani Karagwe (KDCU LTD), Mkoa wa Kagera wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba kwa...

Tangulizi

Tundu Lissu atuma salamu NEC

TUNDU Lissu, mgombea mteule wa urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametuma salamu kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Machinga Dar wamwomba JPM awasaidie

WAJASIRIAMALI wadogo maarufu ‘machinga’ eneo la Gongolamboto wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, wamemmwomba, Rais John Magufuli wa Tanzania kutatua mgogoro wa...

error: Content is protected !!