Thursday , 25 April 2024

Day: August 1, 2020

Michezo

Arsenal waipiga Chelsea, watwaa ubingwa FA CUP

PIERRE- Emerick Aubameyang, kiungo mshambuliaji wa Arsenal ameiwezesha timu yake kutwaa ubingwa wa Kombe la FA CUP nchini Uingereza kwa kuofungia magoli 2-1...

Michezo

Mwamyeto atua Yanga, Niyonzima Azam

USAJILI wa wachezaji wa Ligi Kuu ya Vodamom Tanzania Bara kwa msimu ujao wa 2020/21 umeendelea kushika kasi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Afya

Waziri Ummy atoa darasa la unyonyeshaji watoto

ULISHAJI wa mtoto usio sahihi unaochangiwa na mama kuelemewa na majukumu mengi ya kazi hivyo kukosa muda wa kutosha wa kumtunza mtoto ni...

Habari za Siasa

Nondo: Mahakama iwape dhamana viongozi Bavicha

NGOME ya Vijana ya Chama Cha ACT-Wazalendo kimelaani viongozi wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), kunyimwa dhamana. Anaripoti...

Habari za Siasa

Samia afungua maonyesho ya nanenane, atoa maagizo nchi nzima

SERIKALI ya Tanzania, imeagiza wizara, taasisi za umma na binafsi kutumia maonesho ya kilimo ‘Nanenane’ kama jukwaa la wakutanisha wadau wake, kwa ajili...

Kimataifa

727 wakutwa na corona Kenya, vifo vyafikia 364

SERIKALI ya Kenya, imetangaza wagonjwa wapya 727 wa virusi vya corona (COVID-19) baada ya kupima sampuli 6,371 ndani ya saa 24 zilizopita. Anaripoti...

Habari

Uchaguzi mkuu 2020: NEC yasema wapigakura ni milioni 29, vituo 80,155

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imesema idadi ya wapigakura katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano Oktoba 28 2020 ni milioni 29...

Michezo

Kocha Simba: Tumekuja kushinda fainali

KULEKEA mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Namungo FC, Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Sven Vandenbroeck amesema, wamekwenda...

Habari za Siasa

NCCR-Mageuzi yatoa vifaa vya uchaguzi Dodoma

CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi kimeanza kugawa vifaa vya uchaguzi kama bendera, katiba na kadi kwa wagombea wake wa...

Habari za SiasaTangulizi

Saa 72 za moto Chadema

CHAMA Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kinaingia siku tatu ngumu za mchakato wa kupata mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar katika...

Michezo

Hatma ya Mbao FC, Mbeya City Ligi Kuu leo

KLABU za Mbao FC pamoja na Mbeya City zinashuka dimbani leo katika michezo ya marudiano ya mtoano (Play off) katika harakati za kuwania...

Michezo

TFF yafungua dirisha la usajili

SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania TFF limefungua dirisha la usajiri kwa klabu za Ligi Kuu, Ligi daraja la kwanza, Daraja la pili...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tanzania yapiga ‘stop’ ndege za Kenya

SERIKALI ya Tanzania imezuia ndege za Shirikla la Ndege la Kenya (KQ) kutua nchini humo kuanzia leo Jumamamosi tarehe 1 Agosti 2020. Anaripoti...

error: Content is protected !!