Monthly Archives: August 2020

CCM yateua wagombea uwakilishi Z’bar

KAMATI Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefanya uteuzi wa wagombea Uwakilishi katika Baraza la Wawakilish (BLW) Zanizbar katika majimbo 50 kwa kuzingatia uwezo, umahiri na utendaji wao. Anaripoti Danson Kaijage, ...

Read More »

Polepole amchimba mkwara Maalim Seif

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amemtaka Maalim Seif Sharif Hamad kuacha kuchafua viongozi wa chama hicho, vinginevyo atashughulika naye. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma ...

Read More »

Membe afichua kitakachoiua CCM

BERNARD Membe, mgomeba urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, ametaja kitachoiua Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Amesema, sumu kubwa iliyopandwa na chama ...

Read More »

Ahadi nzito ya ACT-Wazalendo 2020 – 2025

CHAMA cha ACT-Wazalendo endapo kitachaguliwa kuongoza Serikali katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020, kimeahidi kuunda ‘Timu ya Majaji’ ili kuchunguza matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu ...

Read More »

Rungwe ahoji kauli ya Rais Magufuli ‘kupuuzwa’

MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashimu Rungwe amehoji mamlaka zinazoendesha uchaguzi mkuu kama walimwelewa vizuri Rais wa Tanzania, John Magufuli aliyeahidi uchaguzi utakuwa huru na haki. Anaripoti ...

Read More »

Rungwe kuzindua kampeni J’mosi Dar, aahidi ubwabwa

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama cha Chaumma, Hashimu Rungwe, ametangaza kuzindua kampeni zake za urais wa chama hicho Jumamosi tarehe 5 Septemba 2020 Manzese jijini Dar es Salaam. Anaripoti ...

Read More »

Askofu: Wagombea ‘waliokatwa’ warejeshwe

ASKOFU Emmaus Mwamakula, Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, ameiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, kuwarudisha wagombea wa vyama vya upinzani walioenguliwa na wasimamizi wa ...

Read More »

Safari hii sikubali – Maalim Seif

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, hatokubali kuporwa ushindi endapo atashinda kwenye uchaguzi mkuu wa tarehe 27 na 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Watumishi wanne TPA watuhumiwa uhujumu uchumi wa mamilioni

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuwafikisha mahakamani watu watano wakiwemo wanne watumishi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kwa makosa ya rushwa, uhujumu uchumi na ukwepaji kodi ...

Read More »

Yanga yaiteka nchi, mashabiki waitika

IDADI kubwa ya mashabiki wa Yanga waliojitokeza kwenye kilele cha “Wiki ya Mwananchi” kinaweza kuwa kielelezo tosha cha kuonesha kufanikiwa kwa tamasha hilo ambalo lilijumuisha burudani za muziki kutoka kwa ...

Read More »

Saprong, Kisinda waanza kwa furaha Yanga

BAADA ya kupachika mabao mawili kwenye mchezo wa jana Jumapili tarehe 30 Agosti 2020 dhidi ya Aigle Noir ya Burundi kwenye kilele cha ‘Wiki ya Mwananchi’ mshambuliaji Michael Sarpong na ...

Read More »

Kikwete aishauri Yanga kumwacha Morrison

RAIS mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewataka mashabiki wa klabu ya Yanga kutoumizwa kichwa na sakata la mchezaji Bernard Morrison kuhamia kwa watani zao Simba ...

Read More »

Kessy ajiunga Mtibwa akitokea Nkana FC

TIMU ya Mtibwa Sugar ya Morogoro nchini Tanzania, imemsajili beki Ramadhan Kessy akitokea Nkana FC ya Zambia. Anaripoti Kelvin Mwapungu, Dar es Salaam…(endelea) Mtibwa iliyomaliza vibaya msimu wa 2019/20 imemtangaza ...

Read More »

Simba yaanza kubeba makombe

TIMU ya Simba imeanza vyema safari ya msimu wa ligi 2020/21 kwa kutwaa Ngao ya Jamii. Anaripoti Kelvin Mwapungu…(endelea) Simba ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ...

Read More »

Mke wa Lissu alivyomwombea kura mmewe

ALICIA Magabe, mke wa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewaomba Watanzania kutafakari miaka mitano iliyopita na kuamua katika Uchaguzi Mkuu ujao utakaofanyika Jumatano tarehe ...

Read More »

Waziri Jafo: Hakuna binadamu aliyekamilika, lazima tuvumiliane

KUELEKEA Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amewataka viongozi wa dini kuendelea kuhubiri ...

Read More »

Lissu aeleza atakayofanya 2020-2025

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, misingi ya Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho 2020/25 imejengwa na uhuru, haki na maendeleo ya ...

Read More »

Ahadi ya CCM 2020 – 2025

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kupunguza pengo la wenye nacho na wasiokuwa nacho, endapo kitafanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na Dk. ...

Read More »

Ndugai amwaga sumu kampeni za CCM

JOB Ndugai, mbunge mteule wa Jimbo la Kongwa, Dodoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amewataka Watanzania kuwapuuza wagombea wa vyama vya upinzani nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea. Amesema, endapo Watanzania watawachagua ...

Read More »

Dk. Shein: Tutahakikisha Dk. Mwinyi anashinda Z’bar

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitahakikisha mgombea wake Dk. Hussein Mwinyi anashinda urais visiwani Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). “Wana CCM wanaoipenda Zanzibar wanasubiri ...

Read More »

NEC yatangaza wabunge wateule 18 wa CCM

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza wabunge wateule 18 wa chama tawa cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania ambao wanasubiri kuapishwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea) Taarifa ya Mkurugenzi ...

Read More »

Askofu Mwamakula aonya roho za kisasi wagombea urais

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania na Afrika Mashariki, Emmaus Mwamakula, amewataka wagombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, kutokuwa na roho ...

Read More »

Usiyajua kuhusu kocha mpya Yanga

LEO mapema klabu ya Yanga ilimtangaza Zlatko Krmpotic ambaye ni raia wa Serbia mwenye umri wa miaka 62, kuja kukinoa kikosi hicho kwa mkataba wa miaka miwili kuanzia msimu huu ...

Read More »

Pari Match waikogesha Mamilioni Mbeya

KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya Pari Match imeingia mkataba na klabu ya Mbeya City inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara wenye thamani ya Sh. 270 milioni kama mdhamini mkuu. Anaripoti ...

Read More »

Wamimilika uzinduzi kampeni za urais Chadema

MAMIA ya wananchi wanaendelea kujitokeza katika uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zinazofanyika leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020,  Uwanja wa Zakhiem, ...

Read More »

Mchungaji kiongozi KKKT mbaroni

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Manyara, inamshikilia Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Ufana, Emanuel Petro Guse kwa kuendesha ...

Read More »

Yanga yatangaza kocha mpya

MABINGWA wa kihistoria nchini Tanzania, Yanga, imemtangaza Zlatko Krmpotic kuwa Kocha Mkuu. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Kocha huyo anakuja kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Luc Eymael ...

Read More »

Tundu Lissu kuzindua kampeni leo Dar

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, atazindua kampeni zake za uchaguzi mkuu kesho Ijumaa 28 Agosti 2020 jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Pogba aambukizwa corona, atoswa Ufaransa

PAUL Pogba, kiungo wa Manchester United, ameachwa katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Ufaransa, baada ya kubainika kuambukizwa virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea) Kikosi ...

Read More »

Wawa, Miquison warejea kikosini, Kuwavaa Namungo Jumapili

WACHEZAJI wa klabu ya Simba, Pascal Wawa na Luis Miquison wamerejea leo kikosini kwa kuingia kambini baada ya kuwasili leo nchini kutoka kwenye nchi zao walipokuwa wameenda kimapumziko. Anaripoti Kelvin ...

Read More »

Chadema yaitaka NEC irejeshe wagombea wao 

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwarejesha zaidi ya wagombea ubunge 30 na udiwani 600 walioondolewa kinyume na tarartibu za kanuni na sheria ...

Read More »

ACT-Wazalendo yalia rafu Z’bar

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimelaumu vitendo vya wagombea wao kuwekewa pingamizi ama kuondolewa na wasimamizi wa uchaguzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kimeeleza, iwapo hali ya uminyaji haki, uhuru na usawa ...

Read More »

TCRA yaifungia Clouds siku 7 

MAMLAKA  ya Mwasiliano Tanzania (TCRA) imeagiza Clouds TV na Redio kusitisha matangazo yao kwa muda wa siku saba kuanzia kesho Ijumaa 28 Agosti hadi 3 Septemba 2020 kwa kosa la ...

Read More »

NEC yatupa mapingamizi ya Tundu Lissu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeyatupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema dhidi ya wagombea wenzake wawili katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 ...

Read More »

TASAF kutambua kaya maskini kielektroniki

MFUKO wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF) umejipanga kutumia mfumo wa kielektroniki katika kuhakiki na kuzipata kaya maskini kwenye kipindi cha pili ya mpango wa kunusuru kaya maskini wa TASAF ...

Read More »

Kikwete mgeni rasmi tamasha la Yanga

RAIS Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la klabu ya Yanga maarufu ‘Siku ya Mwananchi’ litakalofanyika Jumapili ...

Read More »

Matatizo ya kifamilia yamkosesha kazi kocha Yanga

UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kuachana na aliyetaka kuwa kocha wao Cedric Kaze kutokana na kutoa taarifa ya kuchelewa kufika nchini kwa wiki tatu kutokana na matatizo ya kifamilia. ...

Read More »

Lissu awawekea pingamizi Rais Magufuli, Prof. Lipumba 

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, amewawekea pingamizi wagombea wawili wa urais akidai wamekiuka Sheria za Uchaguzi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Urais waivuruga CCK

HATUA ya David Mwaijojele, Mwenyekiti wa Chama Cha Kijamii (CCK) kurejesha fomu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) akiwa peke yake, imefukua mgogoro uliokuwa ukifukuta chini kwa chini ndani ya ...

Read More »

Kwaheri Dk. Shika

DAKTARI Luis Shika, aliyepata umaarufu kutokana na kauli yake ya ‘900 itapendeza,’ amehitimisha safari yake hapa duniani kwa mwili wake kuzikwa jana Jumanne tarehe 25 Agosti 2020 katika makaburi yaliyopo ...

Read More »

Lissu kuwawekea pingamizi wagombea urais

TUNDU Lissu, Mgombea urais wa Tanzania, amewasilisha mapingamizi dhidi ya wagombea wengine wa urais walioteuliuwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Jana ...

Read More »

Majimbo 20 wapinzani njia panda

TAKRIBANI majimbo 20 ya ubunge Tanzania Bara, yapo njia panda baada ya wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutajwa kupita bila kupingwa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa za awali zinaeleza, majimbo hayo ...

Read More »

Simba mguu sawa kuivaa Namungo FC

KLABU ya Simba imecheza michezo miwili ya kirafiki dhidi ya KMC na Transit Camp kujiweka sawa kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo FC, unaotarajiwa kuchezwa 30 Agosti, ...

Read More »

Mashabiki kuandamana Messi kuondoka Barcelona

BAADA ya mshambuliaji wa klabu ya FC Barcelona, Lionel Messi kutuma maombi maalumu kwa uongozi ya kutaka kuondoka kwenye klabu hiyo, mashabiki wa klabu hiyo wameonekana kujikusanya katika mitaa mbalimbali ...

Read More »

Dk. Mwinyi: Tuache mazoea, tutafute kura

DAKTARI Hussein Mwinyi, mgombea wa urais visiwani Zanzibar, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amewataka viongozi wa chama hicho visiwani humo ‘kuacha mazoea.’ Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Amesema, mazoea ya ...

Read More »

Hakimu amvutia pumzi Lissu

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amekwama kuhudhuria kesi yake ya uchochezi namba 236/2017 na 123/2017 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini ...

Read More »

Kitillya, wenzake: Faini Bil 1.5 au jela miezi sita

MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu uchumi nchini Tanzania, imemhukumu Harry Kitillya, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) na wenzake kwenda jela miezi sita ...

Read More »

Ni ‘nyodo’ za Sugu, Dk Tulia

JOSEPH Mbilinyi maarufu ‘Sugu,’ mgombea ubunge Mbeya Mjini (Chadema) na Dk. Tulia Akson, mgombea jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameanza kutambiana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mbeya … (endelea). Wakati Sugu ...

Read More »

Lissu katika tundu la sindano NEC

TUNDU Lissu, mgombe urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mgombea mwenza wake Salum Mwalimu, wameponea kwenye ‘tundu la sindano.’ Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Lissu, Mwalimu walijikuta ...

Read More »

Carlinhos wa Yanga aisimamisha Dar, kumuona buku 5

VIONGOZI wa klabu ya Yanga leo Jumanne tarehe 25 Agosti, 2020 umempokea kwa kishindo mchezaji wao mpya raia wa Angola Carlos Stenio Fernandes Guimares “Carlinhos” kwenye Uwanja wa kimataifa wa Julius ...

Read More »
error: Content is protected !!