VIONGOZI wa mikoa mitano ya Chama cha ACT Wazalendo, wamemwomba Bernard Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Tanzania, akubari ombi...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema malengo ya Serikali ni kuimarisha usafiri kwenye maziwa yote na bahari ili kuwawezesha Watanzania wafanye biashara...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2020SERIKALI ya Tanzania imetumia Sh. 2.3 bilioni katika mwaka wa fedha 2019/20 kununua vifaa vya kielemu na saidizi kwa ajili ya wanafunzi wenye...
By Masalu ErastoJuly 7, 2020SERIKALI ya Kenya imesema, shule za msingi na sekondori nchini humo zitafunguliwa Januari 2020. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Hayo yamesemwa na...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2020DAKTARI Mayrose Majinge, amechukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020....
By Regina MkondeJuly 7, 2020UONGOZI wa Kiwanda cha Kutengeneza Nguo cha Sunflag, kilichopo mkoani Arusha, kimeeleza kuwa na uwezo wa kuzalisha sare za majeshi na shule nchini...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2020ALBERT Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC) alikuwa na mpango wa kwenda kugombea ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini, lakini amefuta wazo...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2020AUGUSTINE Lyatonga Mrema, Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), amesema mitego ya chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, bado...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2020WIZARA ya Maliasili na Utalii nchini Tanzania, imewahakikishia usalama wa watalii wanaoingia nchini humo kutembelea utalii hawaathiriki na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Mkuu wa Wilaya (DC) na Wakurugenzi wa Halmashauri (DED) tano nchini humo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2020BERNARD Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania anazidi kuviweka mtegoni vyama vya upinzani nchini humo baada ya kusema, atagombea urais...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2020