Friday , 29 March 2024

Day: July 4, 2020

Habari za Siasa

JPM ateua wakurugenzi wengine 5

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wakurugenzi watano wa Halmashauri (DED) nchi humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Uteuzi...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua wakurugenzi watatu

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakurugenzi watatu katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Mbeya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa akerwa wahamiaji haramu Katavi kukithiri, RC…

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka watu wanaoishi kwenye makazi ya Mishamo na Katumba wawe waadilifu na wasitumike kama madalali wa kuingiza...

Habari za Siasa

Urais Z’bar: CCM yapendekeza majina 5

KAMATI Maalum ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, imependekeza majina matano kati ya 31 ya wanachama wa chama hicho waliojitokeza...

Habari za Siasa

Mnyika: Nguvu ya umma itaamua uchaguzi mkuu 2020

CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema kimesema, kitatumia nguvu ya umma, kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Mnyika atoa onyo wagombea ubunge, udiwani Chadema 

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeonya watia nia katika kugombea nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, kutoleta mpasuko ndani ya...

Habari za Siasa

Chadema: Tutashinda kwa kishindo udiwani, ubunge Dar

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kimeweza kupata wagombea wa ubunge na udiwani, takribani asilimia 90 ya viti vyote vinavyogombewa. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Profesa Lipumba amsimamisha kigogo CUF

PROFESA Ibrahim Haruna Lipumba, Mwenyekiti  wa Chama Cha Wananchi (CUF), kwa kutumia mamlaka ya kikatiba,  amemsimamisha Naibu Katibu Mkuu Zanzibar wa chama hicho,...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu achukua fomu kugombea urais Chadema

TUNDU Antipas Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amechukua fomu ya kugombea urais wa Tanzania, kupitia chama hicho, katika...

Habari Mchanganyiko

Waziri Mkuu Majaliwa afungua maonyesho ya Sabasaba, tozo 163 zafutwa 

WAZIRI MKuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira rafiki na wezeshi ili kuviwezesha viwanda vidogo sana, vidogo na vya kati...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: Narejea Tanzania kabla ya Julai 28

TUNDU Antipas Lissu, Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, atarejea Tanzania mwishoni mwa mwezi huu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

error: Content is protected !!