Friday , 29 March 2024

Day: July 3, 2020

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua RAS Simiyu

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli  amemteua, Mariam Perla Mmbaga kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu (RAS). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Kimataifa

UN: video ya ngono yasimamisha kazi wawili

MAOFISA wawili wa Shirika la Umoja wa Mataifa (UN), waliokuwa wanaotajwa kufanya ngono kwenye gari la shirika hilo nchini Israel, wamepelekwa likizo ya...

Habari Mchanganyiko

Rushwa ya ngono Vyuo Vikuu, wanafunzi waonywa

WANAFUNZI wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati wametahadharishwa, kwamba wasipokuwa makini rushwa ya ngono itawaharibia maisha yao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Iringa…(endelea). Kauli hiyo...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua Ma RC wawili, DC tisa

RAIS wa Tanzania,John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mkoa (RC) wawili na Wilaya (DC) tisa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

Mwanasiasa Njelu Kasaka afariki dunia

MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Njelu Kasaka amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa Mbeya alipokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mbeya … (endelea). Kasaka aliyekuwa miongoni...

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu: Jimbo la Ngara wagombea CCM, Chadema ‘kupasuana’

ZAIDI ya watia nia 30 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamejitokeza kutaka kugombea Jimbo la Ngara, Kagera kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba Mwaka...

Habari Mchanganyiko

Adakwa na doti 600 vitenge vyenye nembo ya CCM

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Shinyanga, inamshikilia mfanyabiashara Joseph Tasia akiwa na doti 600 za vitenge vyenye nembo...

Habari za SiasaTangulizi

Hofu ya kuchafuliwa Chadema yatawala

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeonesha hofu ya kuchafuliwa kupitia uchunguzi unaofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Anaripoti...

Habari za Siasa

Ngono? Hakuna kitu hicho Chadema – Matiko

ESTHER Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini amesema, ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), hakuna manyanyaso ya kingono. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

error: Content is protected !!