Friday , 19 April 2024

Day: July 1, 2020

Afya

Naibu Waziri aimwagia sifa CCBRT

NAIBU Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel ameipongeza hospitali ya CCBRT kwa utendaji kazi mzuri licha ya kuwepo changamoto zinawaikabili hospitali hiyo. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yafika uchumi wa kati

BENKI ya Dunia (WB) imeitangaza Tanzania kuingia katika nchi za uchumi wa kipato cha kati. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari za Siasa

Maharagande ajitosa rasmi ubunge Segerea

MBARALA Maharagande, Katibu wa Idara ya Haki za Binadamu Taifa wa Chama cha ACT-Wazalendo, amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Segerea jijini Dar...

Habari Mchanganyiko

Bashe awaonya waliowekeza kwenye ushirika

NAIBU Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Hussein Bashe amepiga marufuku watu waliowekeza kwenye mashamba na majengo ya ushirika kuacha tabia ya kukopea mali...

Habari za SiasaTangulizi

Esther Matiko alivyolichambua Bunge la Makinda, Ndugai

ESTHER Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amelichambua Bunge la 10 lililoongozwa na Anne Makinda na Bunge...

Kimataifa

JPM ateta na Rais Nyusi kwa simu

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo kwa simu na Rais wa Msumbuji, Filipe Nyusi kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo uhusiano na ushirikiano...

Kimataifa

Wagonjwa 307 wa corona waripotiwa Kenya

WAGONJWA wapya 307 wa virusi vya corona (COVID-19), wameripotiwa nchini Kenya baada ya sampuli 3,591 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita. Inaripoti Mitandao...

Habari za Siasa

Kumekucha CCM: Nani kupenya?

JUMLA ya makada 31 kati ya 32 waliochukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kugombea urais visiwani Zanzibar, wameanza kuingizwa...

Habari za Siasa

Chadema yafungua milango urais, uwakilishi Z’bar 

SHUGHULI ya uchukuaji na urudishaji fomu za kugombea urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Kimataifa

Sudani kwalipuka tena

MAELFU ya raia wa Sudani, wamerudi mtaani kufanya maandamano upya wakisema, walichokitaka kwenye maandamano ya awali, hakijafanikiwa. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Licha...

Habari za Siasa

Magufuli ampongeza Rais mpya wa Malawi

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amempongeza Dk. Lazarus Chakwera kuwa Rais mpya wa Malawi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge wengine kuondoka Chadema

TAKRIBANI wabunge wengine watano kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wako mbioni kukihama chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...

Elimu

Bilioni 13 zinavyoboresha sekta ya elimu Kasulu

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako amekagua miradi ya elimu inayotekelezwa katika Halmashauri ya Kasulu mkoani Kigoma yenye...

Habari Mchanganyiko

Mauaji mgodini

WATU wanne wameuwawa kwa kushambuliwa kwa mapanga huku mmoja akijeruhiwa mkoani Shinyanga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Shinyanga … (endelea). Taarifa kutoka kiwanda cha uchenjuaji madini...

error: Content is protected !!