Daily Archives: June 30, 2020

CUF yapata katibu mkuu mpya

BARAZA Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF) limempitisha Haroub Shamis kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea) Shamis anajaza nafasi iliyoachwa ...

Read More »

Malipo ya Tasaf kufanyika kielektroniki

JOSEPHINE Joseph, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tasaf amesema, malipo ya walengwa wa kaya masikini awamu ya pili yatafanyika kwa njia ya kielektroniki. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Amesema walengwa watakuwa wanalipwa fedha ...

Read More »

Petroli, dizeli bei juu

BEI ya mafuta ya Petroli na Dizeli yaliyoingizwa nchini kupitia Bandari ya Dar es Salaam, imeongezwa kuanzia kesho Jumatano tarehe 1 Julai mwaka huu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). ...

Read More »

Zitto amkaribisha Membe ACT-Wazalendo

KIONGOZI Mkuu (KC) wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amemkaribisha rasmi mwanadiplomasia mashuhuri nchini Tanzania, Bernard Kamillius Membe, kujiunga na chama chake. Anaripoti Faki Sosi, Kilwa …  (endelea). ...

Read More »

Urais Z’bar: Rais Magufuli atoa onyo kali wagombea 31, asema…

RAIS John Magufuli, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ameonya wanachama wa chama hicho waliojitokeza kuwania urais Zanzibar kutochafuana na kuhakikisha wanaheshimiana na kuzingatia taratibu za chama hicho. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Utapataje mtoto bila… mkeo? – Rais Magufuli

RAIS John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amehoji, mtu anawezaje kupata mtoto bila kusogeleana? Anaripoti Hamisi Mguta, Dodoma … (endelea). Akizungumza baada ya kurejesha fomu ya ...

Read More »

Dk. Bashiru apuliza kipyenga ubunge, udiwani kuanzia kesho 

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Dk. Bashiru Ally amewatangazia wanachama wa chama hicho wanaotaka kuwania ubunge, uwakilishi na udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 waanze ...

Read More »

Magufuli arejesha fomu, milioni 1.02 wamdhamini

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli amerejesha fomu za kuwania urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Rais ...

Read More »

Rais mpya Malawi ateua maswahiba zake

RAIS mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera ameanza uteuzi wa watu watakaomsaidia kuendesha serikali yake wakiwemo maswahiba zake. Inaripoti itandao ya kimataifa … (endelea). Rais huyo aliyetokana na chama cha upinzani cha ...

Read More »

Asasi za kiraia 272 Tanzania kushiriki uchaguzi mkuu 2020 

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa vibali vya kushiriki shughuli za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, kwa Asasi za Kiraia 272. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam ...

Read More »

Mbowe: Tunaitafuta dola ili kuleta furaha, maisha bora

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema amesema, wanakwenda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 kuitafuta dola ili kuwaletea maisha bora na yenye furaha wananchi. ...

Read More »

Chadema: Tunalichukua jimbo la Bukoba Vijijini

UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kulichukua Jimbo la Bukoba vijijini pamoja na halmashauri kwa kushinda kata zote za udiwani. Anaripoti Danson Kaijage, Bukoba … (endelea) Kauli ...

Read More »

Veta Nyamidaho-Kasulu chazinduliwa, wazazi wapewa somo

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako amezindua Chuo cha Ufundi Stadi Nyamidaho kilichopo Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kigoma … (endelea). Chuo ...

Read More »
error: Content is protected !!