Daily Archives: June 29, 2020

Prof. Lipumba ageukwa na Swahiba wake, Abas Mhunzi

ABAS Juma Mhunzi, makamu mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Tanzania Zanzibar, “ameliamsha dude.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Amemtuhumu mwenyekiti wake, Prof. Ibrahim Lipumba, kuendesha chama chao kama ...

Read More »

Rais wa wanafunzi Ruaha afikishwa kortini tuhuma za wizi

CHRISTOPHER Michael Mollel, aliyekuwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ruaha (CDTI), anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), mkoani Iringa kwa ...

Read More »

DED alivyoomba radhi mara tatu mbele ya JPM

ASAJILE Mwambambale, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro (DED), amemuomba radhi mara tatu, Rais John Magufuli, kwa kosa la kutotatua changamoto ya mgogoro wa ardhi  ...

Read More »

Sh. 170,000 yamponza Hakimu, mzazi mwenzake kufikishwa kortini

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), itamfikisha mahakamani Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kilimatinde, Manyoni, Bahati Ilikunda na mzazi mwenzake, Haji Bwegege wanaotuhumiwa kuomba na kupokea rushwa ya ...

Read More »

Msanii Vitalis Maembe ajiunga ACT-Wazalendo, atangaza kugombea Bagamoyo

VITALIS Maembe, Mwanamuziki na Mwanaharakati nchini Tanzania, amesema amejiunga na Chama cha ACT-Wazalendo kwa kuwa chama hicho kina misingi ya  kudai haki  na kujipambanua kwenye ujamaa. Anaripoti Faki Sosi, Dar ...

Read More »

Profesa Kabudi ‘ajitosa’ kugombea ubunge Kilosa

PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ameonyesha nia ya kutaka kugombea ubunge jimbo la Kilosa mkoani Morogoro, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. ...

Read More »

DC, DED Kilosa nusura ‘walale na viatu’

ASAJILE Mwambambale, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Adam Mgoy nusura watumbuliwe. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza kwenye uwekaji jiwe la msingi la ujenzi ...

Read More »

Lijualikali, Prof. J wapanda jukwaa la JPM

PETER Lijualikali, aliyekuwa Mbunge wa Kilombero (Chadema) na Joseph Haule (Prof. J), Mbunge wa Mikumi (Chadema), wamemwagia sifa Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Wakiwa kwenye uwekaji jiwe la msingi ...

Read More »

Takukuru yawadaka tisa akiwemo mtia nia Arusha CCM

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inawashikilia watu tisa wakiwemo viongozi wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kwa makosa mbalimbali ya rushwa ...

Read More »

Viongozi wa dini waombwa kuombea uchaguzi mkuu 2020

ASKOFU wa Kanisa la Power of God lililopo eneo la Chanika, Dankon Rwaikila amewaomba watumishi wa dini kumuomba Mungu ili atuchagulie viongozi wenye hofu ya Mungu watakaoweza kujitoa katika nchi ...

Read More »

Dawasa inavyowatua ndoo kichwani kinamama, JPM atoa neno

MRADI wa maji Kibamba – Kisarawe unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) umezinduliwa na Rais wa Tanzania, John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ...

Read More »

Chadema yatoa ratiba wagombea urais, ubunge na udiwani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefungua zoezi la uchukuaji fomu za kugombea Urais wa Tanzania, ubunge na udiwani, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es ...

Read More »

Mgogoro wa ardhi: Rais Magufuli ampa siku 7 Waziri Lukuvi

RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amempa siku saba William Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, amkabidhi  hati ya shamba lenye ukubwa wa hekta 5,000, linalomilikiwa raia wa ...

Read More »

Rais Magufuli ampigia kampeni ‘kiaina’ Profesa Kabudi

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amempigia chapuo Profesa Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kwa wananchi wa Jimbo la Kilosa. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Trump alikoroga, atuma video ya ubaguzi Twitter

“NGUVU ya wazungu” ndio maneno ya mfuasi mmoja wa Donald Trump, Rais wa Marekani yaliyomo kwenye video ambayo (Trump) ametuma kwenye ukurasa wake wa twitter. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). ...

Read More »

Nyalandu: Nitafanya mabadiliko Tanzania, Chadema

LAZARO Nyalandu, mtia nia wa urais wa Tanzania ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, akipewa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atafanya mabadiliko ndani ...

Read More »

Mwongozo uvaaji barakoa wanafunzi Tanzania watolewa

SERIKALI ya Tanzania imetoa mwongozo wa namna wanafunzi na walimu wa shule za msingi na sekondari, watakavyokabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19). ...

Read More »

Mwanamke wa tano achukua fomu Z’bar kugombea urais  

MAUDLINE Cyrus Castico, Waziri wa Kazi, Uwezeshaji Wanawake, Wazee na Watoto Zanzibar, amekuwa mwanachama wa 32 kuchukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 kupitia ...

Read More »

Mutharika alia kupokwa ushindi

CHAMA tawala cha Democratic Progressive Party (DPP), kinachoongozwa na aliyekuwa rais wa nchi hiyo Peter Mutharika, kimelalamika kupokwa ushindi wake na chama cha upinzani cha Malawi Congress. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Francis Mphepo, katibu ...

Read More »

Kigogo CUF yamemkuta, asimamishwa

BARAZA Kuu la Uongozi la Chama Cha Wananchi (CUF) limetangaza kumsimamisha uongozi, Makamu Mwenyekiti wake Zanzibar, Abbas Juma Muhunzi kwa kukiuka Maadili ya Uongozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ...

Read More »

Wakili Alute: Hakuna kikwazo Lissu kugombea urais akiwa ughaibuni

TUNDU Antipas Lissu, makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), aweza kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano, “hata kama bado yuko ughaibuni.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »
error: Content is protected !!