Daily Archives: June 28, 2020

Mitihani kidato cha sita kuanza kesho, Necta yatoa onyo

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limewaonya wamiliki wa shuke kuingilia majukumu yanayotendeka ama kufanywa katika mitihami ya kidato cha sita na ualimu inayotarajiwa kuanza kufanyika kesho Jumatatu. Anaripoti Hamis Mguta, ...

Read More »

Kugombea urais: Maalim Seif atua mzigo Z’bar

KITENDAWILI kwamba Maalim Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo atagombea urais visiwani Zanzibar, amekitegua leo. Anaripoti Faki Sosi, Zanzibar…(endelea). Amesema, kutokana na imani ya Wazanzibari waliyoionesha katika miaka ...

Read More »

‘Ishu’ ya Jokate: JPM awapasua mbavu Kisarawe

RAIS John Magufuli amewataka wakazi wa Kisarawe ‘kuchangamkia fursa’ ya kumoa Jokate Mwegelo, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza katika uzindua mradi wa maji wilayani Kisarawe katika ...

Read More »

Kali ya mwaka: JPM atumbua, ateua hapo hapo

RAIS John Magufuli amemtumbua hadharani Katibu Tawala wa Wilaya ya Kisarawe (DAS ), Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi kushika nafasi hiyo hapo hapo. Anaripoti Hamisi Mguta…(endelea). Mwambapa ametumbuliwa leo ...

Read More »

Upinzani washinda Urais Malawi

LAZARUS Chakwera, Kiongozi wa upinzani nchini Malawi, ameibuka mshindi wa Urais katika uchaguzi wa marudio nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu kwa msaada wa mashirika ya kimataifa…(endelea). Tume ya Uchaguzi Malawi ...

Read More »
error: Content is protected !!