Daily Archives: June 27, 2020

Rais Magufuli ampigia simu Majaliwa, atoa maagizo kwa mkandarasi

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amemuagiza mkandarasi wa Kampuni ya China Railway 15 Bureau Group Corporation kutoka China aliyesaini mkataba wa ujenzi wa barabara kutoka Ruangwa hadi Nanganga yenye urefu ...

Read More »

Simba bado mbili, Yanga yaishusha Azam FC

MICHEZO nane imechezwa leo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, ambapo klabu ya Yanga imefanikiwa kuishusha Azam FC kwenye msimamo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Ndanda, ...

Read More »

Yanga mguu sawa kuikabili Kagera

USHINDI wa mabao 3-2 dhidi ya Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kikosi cha Yanga kimejiimalisha kuikabili Kagera Sugar, katika mchezo wa kombe la Shirikisho hatua ya ...

Read More »

Simba washindwe wao tu, mashabiki waruhusiwa kusherekea ubingwa

SERIKALI kupitia Baraza la Michezo Tanzania (BMT), imeruhusu mashabiki kuingia uwanjani katika mchezo kati ya Tanzania Prisons na Simba utakaochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine siku ya Kesho. Anaripoti Kelvin Mwaipungu ...

Read More »

Naibu Spika ajitosa Urais Z’bar, wagombea wafikia 31

MGENI Hasaan Juma, Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea) Mgeni amekuwa ...

Read More »

Takukuru yapangua safu ya viongozi Arusha

BRIGEDIA Jenerali John Mbungo, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), amepangua vituo vya kazi vya maafisa sita wa taasisi hiyo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar ...

Read More »

Bosi Takukuru azungumzia walipofikia sakata la Chadema

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania (Takukuru), imekamilisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Regina Mkonde, Dar ...

Read More »

NCCR-Mageuzi wajinoa Dodoma

CHAMA cha NCCR- Mageuzi, kimejifungia jijini Dodoma, tayari kunoa makada wake muhimu watakaoshriki uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani wa Oktoba mwaka huu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Taarifa ...

Read More »

Biashara kuipa ubingwa Simba kama Chelsea dhidi ya Liverpool?

HUWENDA ubingwa wa Simba ukaamuliwa na Biashara United, kama ilivyokuwa kwa Liverpool kuamuliwa ubingwa na Chelsea baada ya kumfunga Manchester City kwa mabao 2-1. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam… ...

Read More »

Urais Z’bar: 15 warejesha fomu CCM, waliojitosa 30

WANACHAMA 15 wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wamerudisha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). CCM ilifungua zoezi la uchukuaji na urejeshaji ...

Read More »

CUF: Chief Yemba ajitosa Urais Tanzania, sita wajitosa Z’bar

CHIEF Lutalosa Yemba, amejitosa katika mbio za urais wa Tanzania, kupitia Chama cha Wananchi (CUF) huku wanachama watano wa chama hicho, wakijitokeza upande wa Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu ...

Read More »
error: Content is protected !!