Daily Archives: June 26, 2020

Uchaguzi mkuu 2020: Polisi Dar lawaonya wanasiasa, lasema…

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limewaonya wanasiasa kujiepusha na vitendo vya ukiukwaji wa sheria kuelekea maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Regina ...

Read More »

Majaliwa: Tanzania tutaisaidia Burudi kujiunga SADC kumuenzi Nkurunziza

TANZANIA imeahidi kuisaidia Burundi ili iweze kujiunga katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Hayo yamesemwa leo Ijumaa tarehe 26 Juni 2020 na Waziri Mkuu wa Tanzania, ...

Read More »

Klopp amwaga chozi, ubingwa wa Liverpool

KOCHA wa timu Liverpool Jurgen Klopp ameonesha hisia kali za furaha mara baada ya timu yake kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu nchini England, baada ya Manchester City kufungwa na Chelsea ...

Read More »

Corona yaendelea kuitesa Kenya, vifo vyafikia 137

SERIKALI ya Kenya imeripoti wagonjwa wapya 149 wa virusi vya corona (COVID-19) baada ya kupima sampuli 3,090 ndani ya saa 24 zilizopita. Anaripoti Mitandao ya Kimataifa  … (endelea) Maambukizo yamefikia ...

Read More »

Kigogo TPA, wakili  waunganishwa kesi uhujumu uchumi, mwingine asakwa

JAPHETI Jirori, aliyekuwa Meneja Usimamizi wa Akaunti za Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Wakili Arnold Temba, Mkurugenzi wa Kampuni ya ELA Advocate na Mnengele Associates, wameunganishwa katika kesi ya ...

Read More »

Mtoto wa Rais Jumbe ajitosa Urais Zanzibar, wagombea wafika 30

MUSSA Aboud Jumbe, amekuwa mwanachama wa 30 wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kuchuchukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Takukuru Dodoma yala sahani moja  wenye madeni sugu

TAASISI ya Kuzuiya na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma, imevikabidhi vyama vya akiba na mikopo (Saccos) vya MWASHITA  na  DUWASA kiasi cha Sh. 74.2 milioni kutoka kwa wadaiwa  ...

Read More »

Mashabiki Mbeya City, Simba na Yanga wapigwa ‘stop’

SERIKALI ya Tanzania imetoa zuio la Timu ya Mbeya City kucheza michezo yake ya nyumbani ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) bila mashabiki. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Pia, zuio ...

Read More »

Mwili wa Nkurunziza kuzikwa leo 

SAFARI ya mwisho hapa duniani ya aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza inahitimishwa leo Ijumaa tarehe 26 Juni 2020. Anaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea) Mwili wa Nkurunziza aliyefariki dunia ...

Read More »

Serikali ya Tanzania yatoa maelekezo ulipaji ada shule binafsi

SERIKALI ya Tanzania imesema, ada za shule nchini humo zilipwe kulingana na makubaliano yaliyofikiwa mwanzoni mwa mwaka wa masomo 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaaam … (endelea). Kauli hiyo ...

Read More »
error: Content is protected !!