Daily Archives: June 25, 2020

Kushambuliwa Lissu, Mbowe: Chadema ‘tumepoteza imani’

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakina imani na uchunguzi unaofanywa na Jeshi la Polisi kuhusu viongozi wake walioshambuliwa. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo ...

Read More »

Milioni 780 kupambana na dawa za kulevya Tanga 

SERIKALI ya Tanzania imepata Sh. 780 milioni  kwa ajili ya kujenga kliniki ya huduma za methadone kwa waathirika wa dawa za kulevya mkoani Tanga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tanga … (endelea). ...

Read More »

M/kiti, Katibu CCM mikononi mwa Takukuru

BAKARI Khatibu, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Maisaka Kati wilayani Babati na katibu wake Juma Swalehe, wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani ...

Read More »

Chadema yaeleza mashaka ya Lissu kurejea

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), harejei nchini kwa kuwa, bado ana mashaka na maisha yake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Kwamba, Jeshi ...

Read More »

Mufti Zubeir: Hakuna hijja

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), limesema mwaka huu hakutakuwa na ibada ya Hijja, kutokana na janga la Virusi vya Corona. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo ...

Read More »

Waziri Mkuu Majaliwa awaondoa hofu wakulima Tanzania

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka wakulima wa mazao mbalimbali ya biashara wakiwemo wakulima wa ufuta waendelee na kilimo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Ruangwa … (endelea). Majaliwa amesema suala la ...

Read More »

Upinzani kuchukua nchi Malawi

KUNA kila dalili kwamba, mgombea wa upinzani nchini Malawi, anaweza kutangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika juzi tarehe 23 Juni 2020. Unaripoti mtandao wa Nyasatimes…(endelea). Taarifa za awali kwenye ...

Read More »

Simba kutangazia ubingwa Mbeya

TIMU ya Simba inahitaji pointi mbili kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya tatu mfululizo baada ya jana kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya ...

Read More »

Mwandishi wa habari ajitosa Urais Zanzibar, wagombea wafika 29

SHAAME Simai Mcha ambaye kitaaluma ni mwandishi wa habari, amejitosa katika kinyang’anyiro cha Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Serikali ya Tanzania yaipa THRDC siku saba kujieleza

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umepewa siku saba  na Serikali kujieleza kwa nini usichukuliwe hatua za kisheria, kutokana na kukiuka Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ...

Read More »

Bodi ya Ligi yampiga Rungu Lamine Moro

BEKI wa Yanga, Mghana Lamine Moro amfungiwa michezo mitatu na kulipa faini ya Sh. 500,000, kwa kosa la kumrukia mgongoni mchezaji wa JKT Tanzania, Mwinyi Kazimoto, kwenye mchezo wa Ligi ...

Read More »
error: Content is protected !!