Daily Archives: June 24, 2020

Membe amkosoa Jaji Warioba

MWANADIPLOMASIA mashuhuri nchini Tanzania, Bernard Kamillius Membe, amekosoa utaratibu unaotumika na Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika kumtafuta mgombea wake wa urais. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Akiandika katika mtandao ...

Read More »

Majaliwa: Tutawahudumia Watanzania wote bila ubaguzi

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli itaendelea kushughulikia changamoto mbalimbali zinazowakabili Watanzania wote zikiwemo za afya, maji, miundombinu na elimu bila ya ...

Read More »

Zitto na wenzake waachiwa, asema…

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa chama cha siasa cha upinzania nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo na viongozi wengine waliokuwa wakishikiliwa na Polisi Mkoa wa Lindi wameachiwa kwa dhamana. Anaripoti Faki Sosi, Lindi ...

Read More »

Mkude, Morrison nje mechi mbili

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude na nyota wa Yanga, Bernard Morrison wamefungiwa kucheza michezo miwili pamoja na faini ya Sh. 500,000 kwa makosa ya utovu wa nidhamu. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, ...

Read More »

Mbatia ajibu ‘acheni umbea’

TUHUMA kwamba siasa za James Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, sasa hivi zimepoa, zimemsukuma kusema ‘acheni umbea.’ Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari ...

Read More »

Dk. Mwinyi arejesha fomu, asifu demokrasia CCM

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi amerejesha fomu za kuwania Urais wa Zanzibar ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … ...

Read More »

Wagonjwa 254 wakutwa na Corona Kenya

UGONJWA  wa virusi vya corona (COVID-19) umeendelea kushika kasi nchini Kenya baada ya wagonjwa wapya 254 kuripotiwa. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Taarifa iliyotolewa leo Jumatano tarehe 24 Juni ...

Read More »

Mbatia: Suluhu ya UKAWA 2015 haijapatikana

VYAMA vya upinzani vimetakiwa kuondoa manung’uniko yaliyojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, kabla ya kuingia ushirikiano mpya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu 2020: Mbatia amtumia salamu bosi wa NEC

CHAMA cha NCCR-Mageuzi, kimetuma ujumbe wa Jaji Semistocles Kaijage,  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuhakikisha watendaji wake wanatenda haki kwenye mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. ...

Read More »

Wanawake washika kasi Urais Z’bar, wagombea wafika 26

MBIO za kuwania Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 zinazidi kushika kasi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya mwanamke wa tatu kujitoka kwenye harakati hizo. ...

Read More »

DC Katambi amsimamisha afisa  kitengo cha ardhi, aagiza uchunguzi

MKUU wa Wilaya (DC) ya Dodoma mjini nchini Tanzania, Patrobasi Katambi ametangaza kumsimamisha kazi, Hadson Magomba, afisa kitengo cha mipango miji katika Jiji hilo kwa kushindwa kutenda haki kwa wananchi. ...

Read More »

Mchimbaji Tanzanite aibuka bilionea, JPM ataka alipwe

SANINIU Laizer, amekuwa Mtanzania wa kwanza kuvunja rekodi ya uchimbaji mawe makubwa ya madini ya Tanzanite, yenye thamani ya Sh. 7.8 bilioni. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Leo Jumatano tarehe 24 Juni ...

Read More »

IGP Sirro: Kama Mbowe kadanganya…

SIMON Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) amesema, kama Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kadanganya kuhusu kushambuliwa kwake, atafikishwa mahakamani. Anaripoti Hamis Mguta, Dar ...

Read More »

Diwani Chadema kugombea ubunge NCCR-Mageuzi

MUSTAFA Muro, aliyekuwa Diwani wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi. Anaripoti ...

Read More »

IGP Sirro amwinda Lissu

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, anawindwa na Jeshi la Polisi nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Simon Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini ...

Read More »

EPL hakuna kulala, michezo mitano kupigwa leo

LIGI Kuu England inaendelea tena leo kwa kupigwa michezo mitano ambapo Manchester United itashuka dimbani kuikabili Sheffield United kwenye dimba la Old Traford. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Yanga yamjia juu Morisson, wampiga faini

UONGOZI wa klabu ya Yanga umempiga faini ya Sh. 1.5 Milioni nyota wake raia wa Ghana, Benard Morrison kwa kufanya mahojiano na mwandishi wa habari bila kutoa taarifa kwa klabu ...

Read More »

Mwanamke mwingine ajitosa  Urais Zanzibar

HASNA Atai Masoud, amekuwa mwanamke wa pili kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). Hasna amekabidhiwa fomu hiyo leo ...

Read More »

Majaliwa: Vijiji vyote Tanzania kufikiwa na umeme

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Magufuli, imedhamiria kufikisha huduma ya umeme katika vijiji vyote nchini vikiwemo na vijiji 25 ...

Read More »

THRDC, MISA-TAN yalaani kufutwa leseni Gazeti la Tanzania Daima

UAMUZI wa Idara ya Habari na Maelezo nchini Tanzania kusitisha leseni ya uzalishaji na uchapishaji wa Gazeti la Kila Siku la Tanzania Daima, umewaibua Mtandao wa Watetezi wa Haki za ...

Read More »

Afya ya Bwege yaimarika, aunganishwa na kina Zitto

SELEMAN Bungara maarufu Bwege, Mbunge wa Kilwa Kusini kupitia Chama Cha Wananchi (CUF) amefikishwa Kituo cha Polisi cha Lindi Mjini akitokea Kilwa Masoko. Anaripoti Faki Sosi, Lindi…(endelea). Bwege ni miongoni ...

Read More »

Zitto, wenzake wasafirishwa usiku kwa karandinga

JESHI la Polisi Mkoa wa Lindi limemsafirisha usiku kwa usiku Zitto Kabwe, kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na wenzake kutoka Kilwa Masoko kwenda Lindi mjini. Anaripoti Faki Sosi, Kilwa … ...

Read More »
error: Content is protected !!