Daily Archives: June 23, 2020

Membe: Mwaka huu nitagombea urais

BERNARD Membe, aliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, atagombea urais. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Ametoa kauli hiyo leo ...

Read More »

Jaji Warioba: JPM kugombea pekee, kuna sharti

JAJI Mstaafu Joseph Warioba, amsema ni utamaduni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuruhusu rais aliyepo madarakani kutetea kiti chake iwapo hajakiangusha chama. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Amesema, kama ...

Read More »

Serikali yafuta leseni ya Gazeti la Tanzania Daima

GAZETI la kila siku la Tanzania Daima, linalomilikiwa na Kampuni ya Free Media Limited, limeingia kifungoni kwa muda usiojulikana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Leo Jumanne tarehe 23 Juni ...

Read More »

Majaliwa: Milioni 700 kujenga shule ya wasichana Ruangwa  

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuboresha elimu kwa watoto wa kike nchini kote ikiwemo wilaya ya Ruangwa ambayo imepewa Sh. 700 milioni  kwa ajili ya kuanza ...

Read More »

Takukuru yawashikilia Wafanyakazi 30 MSD

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inawashikilia wafanyakazi 30 wa Bohari ya Dawa (MSD) Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za ubadhirifu wa dawa na vifaa tiba zenye thamani ...

Read More »

Yanga kujiuliza kwa Namungo kesho

KIKOSI cha Yanga kesho inatarajia kuikabili Namungo FC, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kutoka sare kwenye mchezo uliomalizika dhidi ya Azam FC, huku uongozi wa kikosi ...

Read More »

Mwanamichezo ajitosa Urais Zanzibar

HASHIM Salum Hashim, Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA), amejitosa katika kinyang’anyiro cha Urais wa Zanzibar, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Mutharika atavuka? Malawi wapiga kura leo

SWALI kubwa linalogubika Malawi na sehemu ya Afrika, ni kwamba Rais Peter Mutharika atashinda kwenye uchaguzi unaofanyika leo Jumanne tarehe 23 Juni 2020 nchini Malawi? Mutharika anapambana ili kupata ridhaa ...

Read More »

Trump aita corona ‘kung flu’

KAULI ya Donald Trump, Rais wa Marekani kuita virusi vya corona (COVID-19), ‘kung flu’ imetetewa na msemaji wa Ikulu nchini humo. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Akizungumza Tulsa, Oklahoma mwishoni mwa wiki, ...

Read More »

Milioni 9 waambukizwa corona duniani

MAAMBUKIZO ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) duniani, yamefikia milioni 9.19 huku waliopona wakiwa milioni 4.94. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa mtandao wa ‘worldometer’ leo Jumanne tarehe ...

Read More »

Polisi wamkamata Zitto, Bwege

ESHI la Polisi Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi, limemkamata Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama siasa cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Faki Sosi, Kilwa…(endelea) Zitto amekamatwa leo Jumanne asubuhi tarehe 23 Juni ...

Read More »

Mrisho Gambo alivyompongeza mrithi wake Arusha

MRISHO Gambo, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ametoa pongezi kwa mrithi wake, Iddy Kimanta katika nafasi hiyo na kumwomba Mungu akamsimamie kwenye utumishi wake. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Gambo alitoa ...

Read More »

Corona isiwe kigezo watoto kukosa chanjo

SERIKALI ya Tanzania imeitaka jamii kutotumia kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya corona (Covid-19) kama kigezo cha kutopeleka watoto kwenye chanjo ili wapate kinga ya magonjwa mengine. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Zitto aeleza walivyojipanga uchaguzi mkuu, kugombea ubunge

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha siasa cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, ameweka wazi msimamo wa chama hicho kuwa hakitasusia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Faki Sosi, Rufiji … (endelea). ...

Read More »
error: Content is protected !!