Daily Archives: June 22, 2020

Mzabuni, mhandisi mbaroni kwa ubadhirifu ujenzi wa Ikulu

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Manyara, inamshikilia Patrick Joakimu Kauky kwa kosa la kufanya ubadhirifu wa vifaa vya ujenzi wa Ikulu ndogo, unaoendelea wilayani Hanang’. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Uchaguzi 2020: Kamati Kuu ACT-Wazalendo yaweka msimamo 

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetangaza kwamba, kitalinda ushindi wake kwa gharama zozote katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Katika maazimio ya Kamati ...

Read More »

Yanga wawajia juu mashabiki wao

UONGOZI wa klabu ya Yanga umekemea vitendo vya mashabiki kuwazomea na kutokana wachezaji kiasi cha kuwakatisha tamaa na kuleta hali ya sintofahamu, licha ya klabu hiyo kupitia changamoto kadhaa kwa ...

Read More »

Wasaka urais CCM Z’bar wafika 22 

MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaosaka kuteuliwa kugombea urasi visiwani Zanzibar, tangu chama hicho kifungue zoezi hilo tarehe 15 Juni 2020, wamefika 22. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Zoezi ...

Read More »

Mfanyabiashara wa mafuta kizimbani Manyara

SIMONI Lemeya Tukai, mfanyabiashara wa mafuta mkoani Manyara na wenzake watatu, wanatuhumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Manyara … (endelea). Hivyo, wanatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya ...

Read More »

Rais Magufuli: Kupitisha jina ‘inategemea nimeamkaje?’

RAIS John Magufuli amewataka wateule wake walio na majukumu kutokimbilia majimboni kugombea, na kwamba kupitishwa kwa majina yao kunategemea ‘siku hiyo ataamkaje.’ Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Ametoa tahadhari hiyo ...

Read More »

Waziri Masauni kada wa 17 kuchukua fomu CCM Z’bar

HAMAD Masauni, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi leo tarehe 22 Juni 2020, amejitokeza kuchukua fomu kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar kugombea urais. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Hawa nusura niwatumbue leo – Rais Magufuli

RAIS John Magufuli amesema, Jonathan Shana ambaye ni Kamanda wa Polisi Arusha na Frida Wikesi, Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani humo, ilikuwa awatimue kazi leo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar ...

Read More »

Rais Magufuli ataja kilichomng’oa Gambo

RAIS John Magufuli amesema, amemfukuza kazi Mrisho Gambo, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na wenzake wawili, kutokana na kutotekeleza maagizo yake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Tarehe ...

Read More »
error: Content is protected !!