Daily Archives: June 21, 2020

Urais Z’bar: Refa avaajezi, aingia uwanjani

HATUA ya Jecha Salum Jecha, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM imeibua maswali. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaa…(endelea). Abdul Nondo, Mwenyekiti ...

Read More »

Nafasi ya Gambo Arusha yajazwa

MKUU wa Mkoa wa Arusha sasa ni Idd Kimanta, ambaye awali alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli jijini Arusha. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Uteuzi huo umefanywa leo tarehe 21 Juni ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu 2020: Majaliwa atoa maagizo kwa Takukuru

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imewaagiza Makamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini wahakikishe wanawakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo ...

Read More »

Mkutano wa Trump wadoda Oklahoma

MATARAJIO ya timu ya kampeni ya Donald Trump, Rais wa Marekani katika kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, yanawavunja moyo. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Katika mkutano wake wa ...

Read More »

Membe aitega CCM kugombea urais

WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema, anatamani kujipima ubavu na Rais John Pombe Magufuli katika kinyang’anyiro cha Urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). ...

Read More »
error: Content is protected !!