Daily Archives: June 20, 2020

Jecha ‘Hasimu’ wa Maalim Seif,  ajitosa mbio za urais Zanzibar

JECHA Salum Jecha, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), amechukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). Jecha amechukua fomu ...

Read More »

Rais Shein ataja matukio yaliyotikisa utawala wake

DAKTARI Ali Shein, Rais wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), ametaja misukosuko aliyokumbana nayo katika utawala wake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). Mwaka huu Rais Shein anamaliza ...

Read More »

Wakazi ajitosa kugombea ubunge Ukonga

MSANII wa ‘Hip Hop’ Webiro Wakazi Wasira, maarufu kama Wakazi, ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika Jimbo la Ukonga, kupitia chama cha ACT-Wazalendo, kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti ...

Read More »

Uchaguzi 2020: Vita ya ACT-Wazalendo, CUF yaanza upya

VITA baina ya Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha ACT-Wazalendo imeanza upya. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Vita hiyo imeanza upya baada ya wabunge 21 na ...

Read More »

Rais Shein avunja Baraza la Wawakilishi

DAKTARI Ali Shein, Rais wa Serikali za Mapinduzi Zanzibar (SMZ), leo Jumamosi tarehe 20 Juni 2020 amelivunja Baraza la tisa la Wawawakilishi la Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). ...

Read More »

Profesa Ndalichako atoa maagizo Chuo cha Ualimu Mpwapwa

WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo cha Ualimu Mpwapwa jijini Dodoma, kuhakikisha miundombinu ya chuo hicho inalindwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mpwapwa … (endelea). ...

Read More »
error: Content is protected !!