Daily Archives: June 19, 2020

JPM awatumbua RC Gambo, DC na DED Arusha

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa viongozi watatu wa Mkoa wa Arusha na kufanya uteuzi wa viongozi watakaoshika nyadhifa hizo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Rais Magufuli atua Dar, achangisha harambee Ubungo

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewasili Jijini Dar es Salaam akitokea Makao Makuu Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, ...

Read More »

‘Matundu’ uchaguzi serikali za mitaa yasirejeshwe 2020

JOTO la Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, linapamba moto ndani ya vyama mbalimbali vya siasa nchini Tanzania. Anaandika Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Tayari Rais John Magufuli amelifunga Bunge la 11 ...

Read More »

Spika Ndugai awachongea wabunge kwa wananchi, avikosoa vyombo vya habari

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameshauri wananchi kutowachagua wabunge walopokaji na watovu wa nidhamu. Anaripoti Mwandishi Wetu. …(endelea). Spika Ndugai ametoa wito huo leo Ijumaa tarehe 19 Juni ...

Read More »

Kampeni 2020: Facebook yang’oa matangazo ya Trump

MTANDAO wa kijamii wa Facebook, umeng’oa matangazo ya kampeni ya Donald Trump, Rais wa Marekani kwamba yanachochea ubaguzi. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Taarifa ya mtandao huo imeeleza, imechukua hatua hizo kwa ...

Read More »

Mwanamke wa kwanza ajitosa urais Zanzibar

MWANTUM Mussa Sultan, amekuwa mwanamke wa kwanza kujitosa katika mchakato wa kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kugombea Urais wa Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Mwantuma amechukua ...

Read More »

Urais Chadema: Mtia nia alivyojigamba kurudisha uhusiano wa kimataifa

WAKILI Simba Neo, aliyejitosa katika kinyang’anyiro cha Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemwaga sera zake. Anaripoti Hamis Mguta,Dar ...

Read More »

Huduma zarejea Hospitali ya Amana, bila barakoa…

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema, Serikali imerudisha huduma za kawaida katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dar es Salaam Amana kwa ...

Read More »

Man Utd, Tottenham vitani leo

LIGI Kuu nchini England inaendelea tena leo tarehe 19 Juni, 2020 kwa mchezo kati ya Tottenham dhidi ya Manchester United ukiwa muendelezo wa Ligi hiyo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es ...

Read More »

Profesa Mbarawa kada wa 10 kujitosa urais Z’bar

PROFESA Makame Mbarawa, Waziri wa Maji amekuwa mwanachama wa kumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliyejitosa kuchukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba ...

Read More »
error: Content is protected !!