Daily Archives: June 18, 2020

Uchaguzi Mkuu: ‘Waandishi wasibague’ – THRDC

WAANDISHI wa habari nchini, wametakiwa kutoripoti habari kwa ubaguzi, katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Akichangia kwenye mjadala ...

Read More »

Milioni 870 zakarabati Chuo cha Bustani, Profesa Ndalichako atoa neno

SERIKALI ya Tanzania, imetumia zaidi ya Sh. 800 milioni kukarabati Chuo cha Ualimu Bustani kilichopo Kondoa mkoani Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Hayo yamebainishwa leo Alhamisi tarehe 18 Juni 2020 na ...

Read More »

CCM Ubungo wamdhamini Magufuli, wasema anatosha

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam wamesema, mgombea wa chama hicho wa nafasi ya Urais, Dk. John Pombe Magufuli anatosha na wala hana mpinzani. Anaripoti ...

Read More »

Chadema ‘yavuna’ kutoka NCCR-Mageuzi

FELIX Mkosamali, aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, ametangaza kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Shamsi Nahodha ataka urais Z’bar

SHAMSI Vuai Nahodha, Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). Mwanasiasa huyo mkongwe, amechukua ...

Read More »

‘Shubiri’ inayomsubiri ‘Rais’ Ndayishimiye

JENERALI Evariste Ndayishimiye, rais mteule wa Burundi, anaapishwa leo kuongoza taifa hilo kwa miaka saba, anachukua nafasi ya Pierre Nkurunziza ambaye alifariki dunia tarehe 8 Juni 2020. Inaripoti mitandao ya kimataifa ...

Read More »

CUF yasaka watia nia ya urais

MWISHO wa kuchukua fomu kwa ajili ya watia nia ya urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), sasa ni tarehe 30 Juni 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Awali chama hicho ...

Read More »

Bunge limevunjwa: Wabunge, mawaziri bado ‘wanachapa kazi’

WABUNGE wa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wataendelea kutumikia na kutambulika katika nafasi zao za ubunge hadi tangazo rasmi la kuvunjwa kwa Bunge la 11, litakapotolewa kwenye Gazeti la ...

Read More »

Man City yaipiga Arsenal ‘tatu mtungi‘

MANCHESTER City imerejea vyema katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya kuishushia kipigo cha ‘tatu bila’ timu ya Arsenal. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Ligi hiyo, imerejea jana Jumatano tarehe 17, ...

Read More »
error: Content is protected !!