Daily Archives: June 17, 2020

Uchaguzi mkuu 2020: Wafadhili waipa mamilioni THDRC

KUELEKEA Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema, utaendesha mafunzo maalum kwa waandishi wa habari ya namna watakavyofanya kazi zao kwa usalama pamoja ...

Read More »

Kidato cha tano Tanzania kuanza masomo Julai 20

WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo amesema, wanafunzi 73,101 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Jafo amesema, ...

Read More »

‘Meya’ Ubungo atimkia ACT-Wazalendo

RAMADHANI Kwangaya, aliyekuwa Kaimu Meya wa Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam amejiunga na chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kwanganya ambaye alikuwa Diwani ...

Read More »

Yanga yamshushia rungu Lamine Moro

KLABU ya Yanga imewaomba radhi kiungo wa JKT Tanzania, Mwinyi Kazimoto na tiju yake, huku ikimwadhibu beki wake, Lamine Moro raia wa Ghana, kwa kitendo cha utovu wa nidhamu. Anaripoti ...

Read More »

Yanga yashikwa shati na JKT, Lamine Moro kuikosa Azam FC

TIMU ya Yanga imelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa mzunguko wa pili Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Anaripoti Kelvin ...

Read More »

JKT Tanzania yaitangulia Yanga

MLINZI wa kulia wa timu ya JKT Tanzania, Michael Aidan ameifungia bao timu hiyo dhidi ya Yanga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea) Mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom ...

Read More »

Ratiba kuapishwa rais mpya Burundi yabadilishwa

EVARISTE Ndayishimiye, rais mteule wa Burundi anatarajiwa kuapishwa kesho tarehe 18 Juni 2020, badala ya Agosti kama ilivyopangwa. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Tume ya Uchaguzi ya Burundi wakati wa mchakato ...

Read More »

Wenye Ulemavu Tanzania wampa heko JPM

Jumuiya ya Wanawake ya Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (Shivyawata) wamempongeza Rais John Pombe Magufuli jinsi alivyotambua mchango wa watu wenye ulemavu katika Serikali aliyoiunda. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Kifo cha Rais Nkurunzinza, Majaliwa asaini kitabu cha maombolezi

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza na kutoa pole kwa wananchi wa nchi hiyo kwa niaba ...

Read More »

Waziri Ummy aionya bodi mpya ya TMDA

BODI mpya ya ushauri ya Wizara ya Afya kwa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imetakiwa kuisimamia mamlaka hiyo na kuacha kufanya kazi ya kipolisi kwa wenye viwanda vidogo ...

Read More »

India, China ‘vitani,’wanajeshi 20 wauawa

WANAJESHI 20 wa India wameripotiwa kuuawa baada ya kushambuliwa na Jeshi la China mpakani Magharibi mwa Milima ya Himalaya. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Taarifa ya Jeshi la India iliyotolewa tarehe jana ...

Read More »

Bayern washeherekea ubingwa bila mashabiki

BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Werder Bremen kwenye Ligi Kuu nchini Ujerumani, Bundesliga, na Bayern Munich na kutangaza ubingwa wa Ligi hiyo, huku kukiwa hakuna ...

Read More »

‘Mtaalam wa uchumi’ Z’bar achukua fomu ya urais CCM

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anayejitambulisha kuwa mtaalamu wa uchumu, Omary Sheha Mussa amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). Mussa amechukua fomu ...

Read More »

Dk. Hussein Mwinyi ajitosa Urais Zanzibar

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi amejitosa katika kinyang’anyiro cha Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea) ...

Read More »

11 wajitosa Urais Chadema

WANACHAMA 11 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamejitokeza kutia nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020. Anaripoti Faki Sosi, Dar es ...

Read More »

Kesi ya Lissu, mahakama yatoa siku 7 kwa serikali

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam nchini Tanzania, imeipa siku saba Serikali kujibu kiapo kinzani kwenye kesi Na. 2 ya  mwaka 2020 iliyofunguliwa na wadhamini wa Tundu Lissu, ...

Read More »

Waziri Ndalichako atoa ratiba za masomo, mitihani Tanzania

PROFESA Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia ametangaza ratiba ya mitihani ya kumaliza shule kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Magufuli achukua fomu ya Urais CCM

RAIS John Magufuli amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »
error: Content is protected !!