Daily Archives: June 16, 2020

Urais Chadema: Mchungaji ajitosa kuwavaa Lissu, Mbowe na Nyalandu

JOTO la mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linazidi kupamba moto, baada ya mwanachama wa chama hicho, Leonard Manyama kujitosa katika kinyang’anyiro hicho. Anaripoti Faki ...

Read More »

Uganda yapiga marufuku kampeni za majukwaani

TUME ya Uchaguzi ya Uganda imepiga marufuku mikusanyiko ya kampeni za jukwaani na kuagiza, kampeni za uchaguzi mkuu zifanyike kupitia vyombo vya habari. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Kwenye uchaguzi ...

Read More »

JPM: Asante sana Dk. Shein

RAIS John Magufuli amemshukuru Dk. Ali Shein, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), anayemaliza muda wake kwa ushirikiano aliompa katika utekelezaji wa majukumu yake. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa ...

Read More »

Man City, Arsenal dimbani Kesho, EPL kurejea

BAADA ya kusimama kwa takriban miezi mitatu, hatimaye Ligi Kuu nchini England kurejea kesho kwa michezo miwili ambapo klabu ya Manchester City itaikalibisha Arsenal kwenye uwanja wa Etihad. Anaripoti Kelvin ...

Read More »

JPM apiga kijembe Chadema

RAIS John Magufuli na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ‘amerusha dongo’ kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akisema, ‘kukimbia changamoto ni uoga.’ Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Rais Magufuli: Uchaguzi utakuwa huru kwa vyama vyote lakini…

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 utafanyika kwa amani, huru na haki huku akionya yeyote atakayethubutu kuuvuruga atachukuliwa hatua kali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). ...

Read More »

Shule zote Tanzania kufunguliwa Juni 29

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameagiza shule zote nchini humo zifunguliwe tarehe 29 Juni 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea), Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo Jumanne tarehe ...

Read More »

Awamu ya Tano: Watumishi 32,555 ‘waisoma namba’

JUMLA ya watumishi 32,555 wamechukuliwa hatua mbalimbali za kinidhamu ikiwemo kufukuzwa kazi, kushushwa vyeo na kushushwa mishahara katika serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Waliokutwa ...

Read More »

Zanzibar imepumua – Rais Magufuli

MIONGONI mwa mambo ambayo Rais John Magufuli anayojivunia katika uongozi wake wa miaka mitano, ni amani visiwani Zanzibar. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Amesema, Muungano kati ya Tanzania na Zanzibar ...

Read More »

Rais Magufuli: Tumefanikiwa

TANZANIA imetajwa kuwa nchi ya kwanza kwa utulivu na amani katika Ukanda wa Afrika Mashariki, pia imeshika nafasi ya saba katika nchi zilizo Kusini mwa Jangwa la Sahara. Anaripoti Regina Mkonde ...

Read More »

Spika Ndugai: Rais amesaini miswada sita

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesaini miswada sita iliyopitishwa na Bunge la 11. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Miswada hiyo ni Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali namba ...

Read More »

Vigogo wamiminika bungeni, JPM kulifunga Bunge

RAIS wa Tanzania, John Magufuli leo Jumanne tarehe 16 Juni 2020 analihutubia Bunge la 11 na kulivunja jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea), Bunge hilo la 11 linaloongozwa na Spika ...

Read More »

Rais Magufuli kuhitimisha Bunge leo

SAFARI ya Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoanza siku 1670 zilizopita inahitimishwa leo Jumanne tarehe 16 Juni 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea) Bunge hilo ...

Read More »
error: Content is protected !!