Daily Archives: June 15, 2020

Urais Chadema: Mbowe ‘kuwavaa’ Lissu, Nyalandu na Dk.Maryrose

FREEMAN Mbowe, amejitosa katika kinyang’anyiro cha kutia nia kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Majaliwa: Wagonjwa wa corona Tanzania wabaki 66

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) kwa sasa yamepungua na idadi ya wagonjwa waliopo nchini hadi leo ...

Read More »

Majaliwa ahitimisha mkutano wa Bunge kwa kueleza mafanikio makubwa

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli katika kipindi cha miaka mitano imepata mafanikio mbalimbali ikiwemo kurekebisha nidhamu kwa ...

Read More »

Idadi ya wapiga kura Tanzania waongezeka

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema idadi ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura imeongezeka ambapo wapiga kura halali kwa mwaka 2020 ni 29,804,992 ikilinganishwa na wapiga kura 23,161,440 wa mwaka 2015. ...

Read More »

Bunge Tanzania lafanya mabadiliko makubwa ya kanuni

BUNGE la Tanzania, limepitisha mabadiliko makubwa ya kanuni zake ambazo zitaanza kutumika katika Bunge la 12 ikiwemo kubadili jina la Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na kiapo kwa wabunge. Anaripoti ...

Read More »

Tanzania yaadhimisha siku ya mtoto wa kiafrika kwa maboresho ya sheria

SERIKALI nchini Tanzania inatarajia kuazimisha siku ya mtoto wa Afrika kesho tarehe 16 Juni, 2020 huku ikimarisha mfumo wa kisheria kwenye ustawi wa watoto nchini, Anaripoti Faki Sosi, Dar es ...

Read More »

Wabunge watatu Chadema watimkia CCM

WABUNGE watatu wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wametangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Uamuzi huo wametangaza uamuzi huo ...

Read More »

Corona yatikisa Kenya, watumishi wanne Ikulu waambukizwa

UGONJWA unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) umeendelea kutikisa nchini Kenya, baada ya watumishi wanne wa Ikulu kubainika kuwa na ugonjwa huo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea) Taarifa iliyotolewa ...

Read More »

Mbunge upinzani akimbilia CCM

REHEMA Migira, Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Wananchi (CUF), amekimbilia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora…(endelea). Akitangaza kwenye sherehe ndogo iliyofanywa na chama hicho Tabora leo tarehe ...

Read More »

Familia ya Karume Z’bar yataka kurudi Ikulu

FAMILI ya Sheikh Abeid Aman Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar, inataka kurejea Ikulu ya Zanzibar. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Ally Abeid Aman Karume, Mtoto wa Sheikh ...

Read More »

Mbunge Bwege atangaza kutimkia ACT-Wazalendo

SELEMAN Bungara maarufu ‘Bwege,’ Mbunge wa Kilwa Kusini kupitia Chama cha Wananchi (CUF) amesema, kuanzia kesho Jumanne Juni 16 2020 baada ya Bunge kuhitimishwa, atajiunga na chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti ...

Read More »

Urais Z’bar: Mbwana afungua pazia CCM

MBWANA Bakari Juma amefungua pazia la uchukuaji wa fomu za kuomba kupitishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar ...

Read More »

Mweusi akutwa kanyongwa California

ROBERT Fuller (24), mmarekani mweusi amekutwa ananing’inia kwenye mti baada ya kunyongwa katika mji wa Palmdale, Califonia nchini Marekani. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Familia ya Robert imetaka maelezo kutoka kwa jeshi ...

Read More »

Bunge lapitisha bajeti, wapinzani wapiga kura ya ndio…

BUNGE la Tanzania, limepitisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2020/21 ya Sh.34.87 trilioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Bajeti hiyo iliwasilishwa bungeni Alhamisi tarehe 11 Juni 2020 na Waziri ...

Read More »

Serikali ‘yagomea’ wapinzani bungeni

SERIKALI ya Tanzania imepingana na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, kuhusu kufeli kwa hatua za Mpango wa Pili wa Taifa wa Maendeleo wa kuliingiza taifa katika uchumi wa kati. Anaripoti Regina ...

Read More »

Bunge lakabidhi serikalini shule, Majaliwa awaonya wahadhiri

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali itaendelea kuchukua hatua kali kwa watu wote watakaothibitika kufanya vitendo vya kuwakatisha watoto wa kike ndoto za masomo ikiwemo kuwafunga jela miaka 30. ...

Read More »
error: Content is protected !!