Daily Archives: June 14, 2020

Urais Chadema: Nyalandu kutekeleza mambo 26 akiwa Rais 

LAZARO Nyalandu, ametangaza kutia nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) huku akibainisha vipaumbele 26 atakavyovifanya ndani ya siku 100 endapo atapewa ...

Read More »

Zitto Kabwe, ‘azitoboa ’ Bajeti 5 za Rais Magufuli 

KIONGOZI wa chama cha siasa cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amekosoa Bajeti kuu ya serikali na kusema, kila bajeti inapaswa kutafsiri maono, malengo na shabaha, ambazo hazijawahi kuonekana tangu ...

Read More »

Mch. Msigwa: Nina dhamira ya kweli ya urais

MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini ametangaza nia ya kuwania urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), na kwamba ana dhamira ya kweli kuling’oa Taifa katika umasikini uliotopea. ...

Read More »

Mweusi mwingine auawa Marekani

IKIWA ni zaidi ya wiki tatu ya maandamano kutokana na polisi wa Minnesota, Marekani kumuua raia mweusi wa taifa hilo George Floyd, tayari mauaji mengine ya kusudi yamefanyika nchini humo. ...

Read More »
error: Content is protected !!