Daily Archives: June 13, 2020

Mbowe aruhusiwa kutoka hospitalini

FREEMAN Mbowe, Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni nchini Tanzania, ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Aga Khani jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Tukio la Mbowe, Chadema wapinga taarifa ya Polisi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limepinga taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu matokeo ya awali ya uchunguzi wa tukio la Freeman Mbowe, mwenyekiti wake, kushambuliwa na watu wasiojulikana. Anaripoti ...

Read More »

Kubenea: Siondoki Chadema, nitagombea tena Ubungo

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema atagombea tena jimbo hilo kupitia chama hicho, katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Wananchi walivyozungumzia miaka mitano Ubunge wa Kubenea

WADAU katika Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, wamezungumzia miaka mitano ya utumishi wa Saed Kubenea, mbunge wa jimbo hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam….(endelea).  Wadau hao wametoa ...

Read More »

Kilichozungumzwa kati ya Magufuli na Rais mteule wa Burundi

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amezungumza kwa njia ya simu na Rais Mteule wa Jamhuri ya Burundi, Evariste Ndayishimiye na kumpongeza kwa uamuzi wa Mahakama ya Katiba nchini Burundi ...

Read More »

Chadema yapewa somo la wagombea uchaguzi mkuu 

CHAMA cha Demokrasia na Mwendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimepewa mbinu za ushindi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge, Madiwani na Rais Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Dk. Lwaitama: Tunapita kipindi kigumu

MWANAZUONI Dk. Azaveli Lwaitama amesema, Taifa linapita katika kipindi kigumu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, kutokana na wananchi wengi kukata tamaa ya kushiriki kwenye uchaguzi huo. Anaripoti Regina Mkonde, ...

Read More »

Msajili aipa siku saba ACT- Wazalendo ijieleze

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, imekitaka Chama cha ACT-Wazalendo, kutoa maelezo ya ufafanuzi kuhusu mazungumzo yake na Ubalozi wa Uingereza nchini humo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar ...

Read More »

Kifo cha Rais Nkurunzinza, Magufuli atangaza maombolezo siku tatu

RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametangaza maombolezo ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia leo Jumamosi tarehe 13 hadi 15 Juni, 2020 kufuatia kifo cha Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza. Anaripoti ...

Read More »
error: Content is protected !!