Daily Archives: June 12, 2020

Rais Magufuli ateta na Waziri Mkuu wa India, amwomba…

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya India, Narendra Modi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa iliyotolewa na Gerson Msigwa, ...

Read More »

Polisi Tanzania yazungumzia tukio la Mbowe

JESHI la Polisi Tanzania, limetoa taarifa za uchunguzi wa awali wa tukio linalodaiwa kushambuliwa kwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … ...

Read More »

Wabunge CCM wajaa hofu kutemwa

BAADHI ya wabunge kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameingia hofu ya kutorudi bungeni, kutokana na muundo wa mchakato wa kuteuliwa ndani ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam ...

Read More »

Unyama wa polisi Kenya

POLISI watatu nchini Kenya, wamekamatwa kwa tuhuma za kumfunga kamba Mercy Cherono (21) kwenye pikipiki, kisha kumburuza kwa tuhuma za kuhusika katika uporaji. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Mercy ...

Read More »

Ratiba kugombea Urais Bara, Z’bar CCM yawekwa hadharani

CHAMA CHA Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya mchakato wa kupata wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Humphrey Polepole, Katibu ...

Read More »

Kinyang’anyiro cha Urais Chadema: Nyalandu kumkabili Lissu

ALIYEKUWA mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, ameanza kupata upinzani mkali katika mbio zake za kutaka kuwania urais, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Mbunge CCM amkaribisha Waziri Mpango ulingoni, asema…

ALBERT Obama, Mbunge wa Buhigwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kigoma, amemjibu Dk. Phillip Mpango, Waziri wa Fedha, kufuatia kauli yake ya kutaka kuligombea jimbo hilo, kwenye Uchaguzi ...

Read More »

Mdee amvaa Dk. Mpango bungeni, Spika Ndugai amtetea

HALIMA Mdee, Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Fedha na Mipango, amemvaa Dk. Phillip Mpango, Waziri wa wizara hiyo, kufuatia kauli yake ya kwamba Serikali ...

Read More »

Bunge la Tanzania lashauri TRA isikusanye mapato ya utalii 

KAMATI ya Bunge ya Bajeti imeishauri Serikali ya Tanzania kuacha utaratibu wa sasa wa ukusanyaji wa mapato yote yanayotokana na shughuli za utalii na mazao ya misitu uendelee kama ulivyo. ...

Read More »

Mbunge CCM azichongea halmashauri bungeni

GOODLUCK Mlinga, Mbunge wa Ulanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), amezichongea halmashauri bungeni, kwamba zina tatizo kubwa la matumizi mabaya na ubadhirifu wa fedha za mapato. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma ...

Read More »

Vigogo 7 TPA kortini tuhuma za uhujumu uchumi, Takukuru yatangaza zawadi nono

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, itawafikisha mahakamani watumishi nane wakiwemo saba wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kwa makosa ya rushwa, uhujumu uchumi na wizi ...

Read More »

Waziri Mpango kugombea jimbo la Mbunge wa CCM

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango ametangaza ‘kiaina’ kuwania Ubunge wa Buhigwe mkoani Kigoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »
error: Content is protected !!