Daily Archives: June 11, 2020

Mbowe apewa saa 72 za uangalizi

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yuko chini ya uangalizi wa kawaida kwa siku tatu katika Hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Bajeti 2020/21: TRA kukusanya mapato ya utalii Tanzania

SERIKALI  ya Tanzania imependekeza mfumo wa ukusanyaji wa mapato yanayotokana na sekta ya utalii na mazao ya misitu nchini humo kufanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa mwaka wa ...

Read More »

Serikali kukusanya, kutumia Tril 34.88 bajeti 2020/21

SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya Sh. 34.88 trilioni, katika Mwaka wa Fedha 2020/21. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa leo Alhamisi tarehe ...

Read More »

Bajeti 2020/21: ‘Blueprint’ kupangua ada, tozo 60 Tanzania

SERIKALI ya Tanzania imependekeza kufuta au kupunguza ada na tozo 60 zinazotozwa na wizara, idara na taasisi zinazojitegemea ili kuondoa kero na urasimu kwa wafanyabiashara na kuboresha mazingira ya biashara ...

Read More »

Nchi Jumuiya Afrika Mashariki zakubaliana kupunguza tozo

NCHI zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zimependekeza viwango vipya na kuondoa tozo za ushuru wa pamoja wa forodha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Hayo yameainishwa leo tarehe 11 Juni 2020 na ...

Read More »

Miradi mikubwa: Serikali ya JPM yatamba bungeni

SERIKALI ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Magufuli, imejigamba kutekeleza miradi mikubwa tangu iliopanza kuwatumikia wananchi mwaka 2015. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Amesema, serikali hiyo ...

Read More »

Kodi zilizofutwa, ongezwa Bajeti 2020/21 

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango amewasilisha Bungeni Bajeti ya Serikali ya Tanzania ya mwaka 2020/21 ya Sh. 34.87 Trilioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kati ya ...

Read More »

Andengenye auzungumzia msamaha wa Rais Magufuli

THOBIAS Andengenye, aliyekuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini Tanzania amemshukuru Rais wa nchi hiyo, John Magufuli kwa kumsamehe. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea) Andengenye amesema ...

Read More »

Jaji Mutungi awapa maagizo Jukwaa la Katiba Tanzania

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Francis Mutungi ameitaka Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata) kuhakikisha inapigia upatu sera ya siasa safi na kwenda kunadi sera hizo katika jamii kwanza. ...

Read More »

Rais Magufuli: Nimemsamehe Andengenye lakini… 

RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametangaza hadharani kumsamehe aliyekuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye ambaye alimuomba msamaha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Amesema, licha ...

Read More »

Rais Magufuli: Niombeeni nisiwe na kiburi, jeuri

RAIS wa John Magufuli amewataka Watanzania kutodharau dawa za kienyeji katika kukabiliana na maradhi mbalimbali. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kiongozi huyo wa Tanzania ametoa wito huo leo Alhamisi tarehe 11 Juni ...

Read More »

Rais Magufuli alipa ‘tano’ Bunge la Tanzania

RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amelipongeza Bunge la nchi hiyo, kwa kupitisha azimio itakayozuia mtu au mamlaka kuhamisha Makao Makuu ya nchi yaliyopo Dodoma kwenda eneo jingine. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). ...

Read More »

Mapambano ya corona Tanzania, IMF yatoa msamaha wa mabilioni

DK. John Magufuli, Rais wa Tanzania amesema, atamwandikia barua Kristalina Georgieva, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha za Kimatiafa (IMF ), kwa ajili ya kulipongeza shirika hilo, kwa kutambua juhudi ...

Read More »

Vipaumbele 10 vya serikali 2020/21 hivi hapa

SERIKALI imeweka vipaombele 1 vya miradi ya maendeleo kwa mwaka 2020/2021 ili kuhakikisha uchumi unakuwa kwa kasi. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Viapumbele hivyo vimeanishwa leo tarehe 11 Juni ...

Read More »

Wizara ya Ujenzi kinara utawala wa Rais Magufuli  

WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mwasiliano, imeongoza kwa kupatiwa fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya maendeleo, kuanzia mwaka 2016/2017 hadi 2019/2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Mbunge CCM awapigania wagonjwa wa saratani, figo bungeni

RITTA Kabati, Mbunge Viti Maalumu mkoani Iringa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ameiomba Serikali kuwapunguzia gharama za matibabu wagonjwa wa saratani na figo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kabati ...

Read More »

Serikali ya Tanzania: Kila mtu alimiliki mil 2.5 mwaka 2019

SERIKALI imesema, mwaka jana (2019) pato la taifa kwa mtu mmoja mmoja lilikuwa Sh. 2,577,967 kutoka Sh. 2,452,406 mwaka 2018, sawa na ongezeko la wastani wa asilimia 5.1. Anaripoti Danson ...

Read More »

Serikali ya Tanzania kujenga gereza kila Wilaya 

SERIKALI ya Tanzania imesema, ina mpango wa kujenga magereza kila wilaya, ili kumaliza tatizo la mrundikano wa mahabusu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Mpango huo umeelezwa leo Alhamisi tarehe ...

Read More »
error: Content is protected !!