Daily Archives: June 10, 2020

Wadau: Bajeti 2020/21 iguse maisha ya watu

SERIKALI ya Tanzania imeshauriwa kuja na bajeti itakayoziba mapengo yaliyoachwa na athari za mlipuko wa virusi vya corona (COVID-19), hususan katika uchumi wa wananchi na taifa kwa ujumla. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

CCM yakaa mguu sawa uchaguzi mkuu 

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, kimeanza rasmi kujipanga kwa ajili ya kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Leo Jumatano tarehe 10 Juni 2020, ...

Read More »

Waziri Tanzania awapa pole madereva waliokwama Namanga 

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto nchini Tanzania, Dk. Godwin Mollel amefanya ziara katika mpaka wa Tanzania na Kenya Namanga jijini Arusha na kuzungumza na ...

Read More »

Mu-Iran aliyewapa taarifa CIA, Israel kunyongwa

MAHMOUD Mousavi-Majd, Raia wa Iran aliyesaidia Intelejensia ya Marekani (CIA) kumuua kamanda wa ngazi ya juu wa Iran, Qassem Soleimani amehukumiwa kunyongwa hadi kufa. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Januari ...

Read More »

Upinzani Tanzania: Viongozi wakuu washtakiwe kwa wanayotenda

KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni nchini Tanzania, imekosoa marekebisho yanayokusudiwa kufanywa katika Sheria ya Utekelezaji wa Haki na Wajibu wa Msingi, Sura ya 3 kuwa haina tija kwa Taifa na ...

Read More »

Muswada unaoweka kinga viongozi wakuu kushtakiwa watua bungeni

MUSWADA  wa wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na.3) wa Mwaka 2020 umewasilishwa bungeni ukipendekeza kufanyika marekebisho ya sheria 13 ikiwemo inayoweka masharti ya viongozi wakuu kushtakiwa mahakamani. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Maalim Seif ahofia uchaguzi mkuu kuacha majeraha

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimebainisha vikwazo kumi vitakavyosababisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 kutokuwa huru, haki na unaoweza kuacha majeraha kwa Watanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Vikwazo ...

Read More »

Maalim Seif ashangaa viongozi kubeza tukio la Mbowe

MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif  Sharif Hamad ameliita tukio la kushambuliwa kwa Freeman Mbowe, Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ni “kitendo kibaya kabisa, kitendo cha kishezi ...

Read More »

Waziri Ummy: Mikoa 15 Tanzania haina corona

SERIKALI ya Tanzania imetoa mwenendo juu ya hali ya maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … ...

Read More »

Mauaji ya watu 59 Nigeria

WATU 59 wameuawa katika shambulio lililofanywa na waasi kwenye Kijiji cha Borno, kilichopo Kaskazini mwa Nigeria jana jioni tarehe 9 Juni 2020. Chombo cha habari cha Reuters kimeeleza…(endelea). Waasi hao walivamia kijiji ...

Read More »

LHRC yataka Polisi iharakishe uchunguzi tukio la Mbowe 

TUKIO la kushambuliwa na watu wasiojulikana lililomkuta Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), usiku wa kuamkia Jumanne tarehe 9 Juni 2020, limekiibua Kituo cha Sheria na ...

Read More »

Bunge kuhitimishwa Juni 16, Bajeti kujadiliwa siku mbili

BUNGE la 11 la Tanzania linaloongozwa na Spika Job Ndugai, litahitimishwa Jumanne ijayo tarehe 16 Juni 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Ratiba iliyotolewa leo Jumatano tarehe 10 Juni ...

Read More »

Ubalozi wa Marekani walaani kushambuliwa Mbowe, watoa maagizo 

UBALOZI wa Marekani nchini Tanzania umetoa tamko la kulaani tukio la kushambuliwa kwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na watu wasiojulikana, lililotokea usiku wa kuamkia ...

Read More »

Takukuru kuwahoji wabunge 69 wa Chadema

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, inatarajia kuwahoji wabunge 69 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuhusu tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili chama ...

Read More »
error: Content is protected !!