Daily Archives: June 9, 2020

Mbunge Chadema aomba kujiunga CCM

MBUNGE wa Momba (Chadema), David Silinde ametangaza kujiondoa ndani ya chama hicho na kuomba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Silinde ametangaza uamuzi huo ...

Read More »

Mbowe ahamishiwa Hospitali ya Aga Khani Dar

FREEMAN Mbowe, Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzania Bungeni nchini Tanzania amehamishiwa Hospitali ya Aga Khani, Dar es Salaam kwa matibabu zaidi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Mbowe alikuwa amelazwa Hospitali binafsi ...

Read More »

Rais Nkurunziza afariki dunia

RAIS wa Burundi, Pierre Nkurunziza amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo, Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Taarifa zilizothibitishwa na Msemaji wa Serikali, Balozi Willy Nyamitwe, zimeeleza kuwa Rais Nkurunziza amefariki kwa ...

Read More »

Picha: Freeman Mbowe akisafirishwa kuelekea Dar es Salam

Read More »

Lijualikali: Mbowe alikuwa kalewa, hakushambuliwa

MBUNGE wa Kilombero (Chadema), Peter Lijualikali amesema, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe hakushambuliwa na watu wasiojulikana bali alidondoka katika ngazi akiwa amelewa. Amewatuhumu Chadema, kucheza michezo ovu dhidi ya ...

Read More »

Spika Ndugai: Dodoma ni salama, hakuna tatizo

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania amevitaka vyombo vya dola nchini humo kutoa haraka taarifa za awali za uchunguzi wa tukio la kushambuliwa kwa Kiongozi wa Kambi Rasmi ya ...

Read More »

Rufaa ya serikali EACJ yatupwa

MAHAKAMA ya Afrika Mashariki (EACJ) imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na serikali, baada ya ushindi wa kesi ya kupinga baadhi ya vifungu vilivyoonekena kuwa kandamizi katika sheria ya huduma za vyombo ...

Read More »

Serikali yakwamisha kesi ya Idriss

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeahirisha kesi inayomkabili Idriss Sultani, Msanii wa Vichekesho na mwenzake Innocent Maiga baada ya upande wa serikali kushindwa kukamilisha kuandaa hoja ...

Read More »

Lissu amwomba Rais Magufuli ajiandae kumpokea

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemshauri Rais Magufuli kufanya maandalizi ya kumkabidhi nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Makamu huyo mwenyekiti wa Chadema, kwa zaidi ya ...

Read More »

Majaliwa amtembelea Mbowe hospitalini 

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemtembelea na kumjulia hali Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ambaye amelazwa katika hospitali ya Ntyuka jijini Dodoma kwa matibabu. Anaripoti ...

Read More »

TYC ‘yalilia’ uchaguzi shirikishi Tanzania  

WAKATI  maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 yakiendelea nchini Tanzania, Shirika lisilo la Kiserikali la Tanzania Youth Coalition (TYC) limetaka kufanyika kwa majadiliano baina ya wadau wote wanaohusisha uchaguzi huo ...

Read More »

Maelfu waaga mwili wa Floyd

MAELFU ya Wamarekani, wamejitokeza katika Kanisa la Houston kuuaga mwili wa George Floyd, mmarekani mweusi aliyeuawa na polisi wa Minnesota na kusababisha kuibuka kwa maandamano ndani na nje ya taifa ...

Read More »

Mbunge ataka wanaume wasiofanyiwa tohara wasioe

RUKIA Kassim Ahmed, Mbunge Viti Maalumu kupitia Chama cha Wananchi (CUF), ameitaka Serikali ya Tanzania kuwazuia wanaume wasiotahiriwa kuoa, ili kuwakinga wanawake dhidi ya ugonjwa wa saratani ya mlango wa ...

Read More »

TFF yaruhusu mechi za kirafiki

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeruhusu kuendelea kwa michezo ya kirafiki kwa klabu kwenye ngazi husika kwa kibali maalumu, ili kuhakikisha wanafuata muongozo wa kujikinga na ugonjwa wa ...

Read More »

Korea Kaskazini, Kusini zakata mawasiliano

HALI ya kutoaminiana kati ya mataifa mawili yenye historia moja na watu wanaofanana – Korea Kaskazini na Kusini – inazidi kuongeza wasiwasi, sasa wamekata mawasiliano yote. Unaripoti mtandao wa BBC … ...

Read More »

Polisi Tanzania: Tukio la Mbowe lisitumike kisiasa

POLISI Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania, limetoa onyo kwa mtu au kikundi cha watu, kutumia tukio la kushambuliwa kwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini humo Chadema, ...

Read More »

Chadema yatoa kauli kushambuliwa Mbowe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimelitaka Jeshi la Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama nchini Tanzania, kufanya uchunguzi wa kina kuhusu tukio la Freeman Mbowe, mwenyekiti wake, kushambuliwa ...

Read More »

Mapambano ya corona: Bunge kumpongeza Rais Magufuli

BUNGE la Tanzania, linatarajia kupitisha azimio la kumpongeza Rais wa nchi hiyo, John Pombe Magufuli, kwa namna alivyoliongoza Taifa katika Mapambano dhidi ya janga la ugonjwa wa Corona (COVID-19). Anaripoti ...

Read More »

Ni vita ya fedha GSM Vs Mo

‘VITA’ ya fedha inakwenda kutikisha msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara (2020/21). Ni baada ya vilabu vikubwa viwili nchini – Klabu Simba na Yanga – kupania kusajili wachezaji wakali. Anaripoti ...

Read More »

Kushambuliwa Mbowe: ‘Issue’ ni Uchaguzi Mkuu

TAARIFA za awali zinaeleza, shambulizi alilofanyiwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) – Taifa, lina uhusiano na uchaguzi mkuu 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea).  “…wakamuambia wewe unaisumbua sana serikali, ...

Read More »

Mbowe ashambuliwa Dodoma, avunjwa mguu

MWENYEKITI wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameshambuliwa na watu wasiojulikana, usiku wa manane wa kuamkia leo Jumanne, tarehe 9 Juni 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »
error: Content is protected !!