Daily Archives: June 8, 2020

Simba, Yanga, Azam Matatani

SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania ‘TFF’, limepiga marufuku michezo yote ya kirafiki kwa klabu zote nchini mpaka pale itakapotoa kibali maalumu kutokana na timu hizo kutofuata masharti ya Wizara ...

Read More »

Bunge lapiga ‘stop’ mtu au mamlaka kuihamisha Serikali Dodoma

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limepitisha azimio la kuitaka Serikali kutobadili uamuzi wa Jiji la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi na shughuli zake. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Azimio ...

Read More »

Lissu: Sitaunda Serikali itakayolipa kisasi

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewasilisha taarifa ya kusudio lake la kutaka kugombea Urais wa Tanzania, kupitia chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Read More »

Raia wa Armenia kortini kwa kuisababishia Serikali hasara Mil. 44

VARDAN MKHITARYAN (47), raia wa Armenia na mwenzake, wamefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam kwa kosa kuisababishia hasara Serikali kiasi cha Sh. 44 milioni. Anaripoti Faki ...

Read More »

Dk. Maryrose: Siwahofii Lissu, Msigwa urais Chadema

DAKTARI Maryrose Majinge, aliyejitokeza katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 amesema, haogopi vigogo atakaochuana ...

Read More »

Hoja 5 zilizofanya Bunge limpongeze Spika Ndugai

CHARLES Kitwanga, Mbunge wa Misungwi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amewasilisha bungeni azimio la kumpongeza Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea) Azimio hilo limesomwa leo ...

Read More »

Simba yaonyesha umwamba kuelekea Ligi Kuu

KLABU ya Simba leo imeibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Transit Camp kwenye mchezo wa kujipima nguvu kuelekea kuendelea na michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajia kuanza ...

Read More »

Serikali ya Tanzania: Hatuajiri walimu wa sanaa

Baadhi ya vijana waliojitokeza kwenye usaili wa ajira za Uhamiaji

SERIKALI ya Tanzania imesema, itawaajiri walimu wa masomo ya sanaa  pale idadi ya walimu wa sayansi, hisabati, kilimo, biashara, elimu maalum na mafundi sanifu wa maabara za shule za Sekondari itakaporidhisha. Anaripoti ...

Read More »

Askofu Bagonza: Ni Mungu tu asiyekosea

UMMA na mataifa huongozwa na wanadamu. Sifa kuu ya mwanadamu ni kukosea au kuishi katika uwezekano wa kufanya makosa. Anaandika Mwandishi Maalum … (endelea) Dawa ya kumsaidia mwanadamu mwenye uwezo ...

Read More »

Azimio kuzuia Serikali kuhama Dodoma kutua bungeni

BUNGE la Tanzania litapitisha azimio la kuibana Serikali ya nchi hiyo kutobadili uamuzi wa kuhamisha shughuli za Serikali kutoka jijini Dodoma kwenda kwingine. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea) Bunge hilo linaloongozwa ...

Read More »

Bunge la Tanzania kumpongeza Spika Ndugai

BUNGE la Tanzania, linatarajia kupitisha Azimio la kumpongeza Spika wa Bunge hilo, Job Ndugai kwa mafanikio ya Bunge la 11. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Kwa mujibu wa orodha za shughuli ...

Read More »

167 wakutwa na Corona Kenya, wagonjwa wafikia 2,767

UGONJWA unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) nchini Kenya, umeendelea kushika kasi, baada  ya wagonjwa wapya 167 kupimwa na kukutwa na corona. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea) Kenya imekuwa na utaratibu ...

Read More »
error: Content is protected !!