Daily Archives: June 7, 2020

Kwa nini tunaumba Miungu itakayogharimu taifa?

SERIKALI iko mbioni kuwasilisha bungeni muswada wa Sheria ya Utekelezaji wa Haki na wajibu wa Msingi, Sura ya 3 (The Basic Rights and Duties Enforcement Act Cap 3). Muswada huu, ...

Read More »

Ado Shaibu: Serikali ilitaka nimlipe Rais Milioni 123

ADO Shaibu Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema Serikali ilimtaka alipe Shilingi 123 Milioni kama faini ya kushindwa kesi aliyomshtaki Rais John Magufuli. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). ...

Read More »

ACT-Wazalendo wapinga kinga ya Rais, Jaji Mkuu, Spika

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeleeza kuwa nia ya serikali ya kupitisha Muswada wa sheria mbalimbali Na.3 ya mwaka 2020 inalenga  kufunga milango ya kudai haki za binaadamu, utawala wa sheria na ...

Read More »

JPM: Mungu kajibu maombi 

RAIS John Magufuli amesema, Mungu amejibu maombi ya Watanzania kuepusha ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virisi vya corona (COVID-19) nchini. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea).  Akihudhuria ibada ya Jumapili ...

Read More »

Membe: Sina sababu ya kuomba radhi

WAZIRI wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa wa zamani wa Tanzania, Bernard Membe amesema, hana sababu ya kumuomba radhi Rais John Magufuli, wala Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti ...

Read More »

Safu Mount Meru kufumuliwa

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Godwin Mollel, ameagiza kuondolewa kwa safu ya uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru ...

Read More »
error: Content is protected !!