Daily Archives: June 6, 2020

Kenya kufungua vyuo, shule Septemba 1

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametangaza kufunguliwa kwa shule na vyuo nchini humo Septemba 1 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Rais Kenyatta amesema hayo leo Jumamosi tarehe 6 Juni, ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu 2020: Rungwe atangaza ‘kutembeza bakuri’

KAMATI Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) nchini Tanzania, kimetangaza kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, huku kikitoa wito kwa vyama vyengine vitakavyohitaji kushirikiana nacho, kufanya majadiliano. Anaripoti ...

Read More »

CUF:  Tupo tayari kushirikiana lakini… 

CHAMA cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania,  kimetoa msimamo kuwa kipo tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani vyenye dhamira ya kukiondoa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Faki Sosi, Dar ...

Read More »

Chadema yajitosa Urais Zanzibar, yatoa siku 10

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  kimefungua milango ya wanachama wake wanaotaka kuwania urais wa Zanzibar,  kuandika barua kwenye ofisi ya naibu katibu mkuu wa chama hicho, Zanzibar kuanzia leo ...

Read More »

Uchaguzi mkuu 2020: TYC yatoa somo kwa vyama vya siasa Tanzania

VYAMA vya siasa nchini Tanzania, vimetakiwa kuweka mazingira sawa ya ushiriki wa wanawake, vijana na wenye umelavu katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Wagonjwa wa corona wafikia 2,474 Kenya, Rais Uhuru asubiriwa

SERIKALI ya Kenya imesema, wagonjwa wa corona (COVID-19) nchini huyo wamefikia 2,474. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari jana Ijumaa tarehe 5 Juni 2020, Katibu wa ...

Read More »

Tuhuma Mil. 1 yawafikisha kortini mganga mkuu, mfamasia Rombo

DK. Christon Nkya, aliyekuwa Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Rombo mkoani Kilimanjaro na mfamasia wa zamani wa halmashauri hiyo, Remig Massawe, wamefikishwa mahakamani kwa makosa mbalimbali ikiwamo kughushi na kujipatia ...

Read More »

TLS yatoa tamko kupinga mahabusu kufanyishwa kazi

CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeiomba Serikali ya Tanzania, kusitisha mpango wake wa kufanyisha kazi mahabusu, kwa kuwa unakwenda kinyume na Katiba ya nchi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam ...

Read More »

Mwamuzi atupwa jela mwaka mmoja kwa kupanga matokeo

MAHAKAMA ya Mkoa wa Kilimanjaro, imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja mwamuzi wa mpira wa miguu, Safiel Mjema baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuomba na kupokea hongo ya Sh.120,000. ...

Read More »
error: Content is protected !!