Daily Archives: June 5, 2020

Yanga yajiimarisha kurejea Ligi Kuu Bara

KIKOSI cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi yake kwenye viwanja vya chuo cha Sheria, Jijini Dar es Salaam katika hatua ya kujiandaa na michezo ya Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho inayotarajia kuanza hivi ...

Read More »

Mchungaji Msigwa amtangulia Lissu ‘urais’ Chadema 

MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini tayari amefungua pazia la kugombea urais ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Mbunge huyo amefikisha barua ...

Read More »

Lissu kueleza mikakati ya urais J’tatu

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maaendeleo (Chadema)-Bara amesema, atazungumza na Watanzania Jumatatu tarehe 8 Juni 2020 kuelezea adhima yake ya kuwania urais ndani ya chama hicho. Anaripoti ...

Read More »

Rais Magufuli awataka CWT kuchagua viongozi makini

RAIS wa Tanzania, John  Magufuli, amewawataka viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), wanaotarajiwa kuchaguliwa hivi karibuni, kuja na mipango madhubuti ya kukiimarisha chama hicho, pamoja na kuondoa kero za ...

Read More »

Vigogo MSD wadaiwa kukwapua bil 1.6

ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)  nchini Tanzania, Laurean Bwanakunu na mwenzake wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam na kushtakiwa kwa makosa matano yakiwemo kuitia ...

Read More »

Rais Magufuli kufungua shule, amshangaa Spika kuvaa barakoa

DK. John Magufuli, Rais wa Tanzania, amesema atafungua shule za msingi na sekondari hivi karibuni, kama ataridhishwa na kasi ya upunguaji wa maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, ...

Read More »

CWT yamwomba Rais Magufuli awaache vizuri

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimeiomba Serikali kuajiri walimu wapya, ili kuondoa changamoto ya uhaba wa walimu iliyotokana na mpango wa elimu bila malipo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Matiko aambiwa ‘Watumishi waliokuwa ardhi, wamehamishwa’

WIZARA ya Nchi Ofisi wa Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeeleza, watumishi wa sekta ya ardhi waliokuwa chini ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI, wamehamishiwa Wizara ya ...

Read More »

Mrema: Piga ua galagala Dk. Magufuli atashinda Urais

MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour Party,  (TLP) Augustine Lyatonga Mrema amesema, katika uchaguzi mkuu mwaka 2020 chama chake hakitaweka mgombea wa Rais badala yake watampigia kura mgombea wa Chama ...

Read More »

Ofisa Takukuru ‘feki’ abambwa kwa kujipatia Sh. 90,000

JAFET Emmanuel, Mkazi wa Kilimahewa katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kwa kosa la kupata fedha kwa njia za udanganyifu. Anaripoti ...

Read More »

Serikali yahaha kuzuia maandamano Australia

KUANZIA kesho Jumamosi tarehe 6 Juni 2020, miji mbalimbali ya Australia inatarajia kushuhudia maelfu ya raia wake kushiriki maandamano kupinga ubaguzi wa rangi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Katika ...

Read More »

Usafiri treni Dar-Moshi kuanza ndani ya siku 14

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limesema, ndani ya siku 14 zijazo, litarejesha safari za treni za mizigo na abiria kati ya Dar es Salaam na Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya ...

Read More »

‘Bosi’ MSD, mwenzake kortini tuhuma za utakatishaji fedha

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka itawafikisha mahakamani aliyekuwa mtendaji mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu na mwenzake ...

Read More »
error: Content is protected !!